Nahitaji kujifunza kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Wadau nina shida ya kujifunza kiingereza cha kuongea naombeni msaada maana interview zinanitesa sana. Kama unaweza nisaidia ni inbox tuongee kwa kina.
 
Fanya "immersion" ("zamia") kwenye Kiingereza. Nenda kwenye jamii inayozungumza Kiingereza muda wote.

Mbadala wa hilo, sikiliza sana matangazo ya redio na televisheni ya Kiingereza sahihi. Tumia app na mitandao kama duolingo, cambly, na mingineyo kuboresha lugha.

Pata computer app ya Rosetta Stone, inatumia mbinu ya "immersion" kwenye kufundisha lugha.

Ingia inbobo kwa Nyani Ngabu kwa ushauri maridhawa.
 
sasa jamii inayozungumza kiingereza ataipata wapi hapa bongo.
 
sasa jamii inayozungumza kiingereza ataipata wapi hapa bongo.

Mbadala wa hilo, sikiliza sana matangazo ya redio na televisheni ya Kiingereza sahihi. Tumia app na mitandao kama duolingo, cambly, na mingineyo kuboresha lugha.

Pata computer app ya Rosetta Stone, inatumia mbinu ya "immersion" kwenye kufundisha lugha.

Ingia inbobo kwa Nyani Ngabu kwa ushauri maridhawa.
 
Wadau nina shida ya kujifunza kiingereza cha kuongea naombeni msaada maana interview zinanitesa sana. Kama unaweza nisaidia ni inbox tuongee kwa kina.
No shortcuts mkuu

Ni bidii na practice.

Tumia Youtube, kaa mwenyewe ndani zungumza kwa sauti.

Wasikilize wazungumzaji, soma mijariba mizito mizito jama Forbes, Bloomberg, The Citizen n.k
Uki maintain consistency ndani ya miezi 6 tu utaona changes
 
Kwanza unabidi ufhamu Tense na part of speech hapo lugha utaweza kuimasta japo kwa kiwango flani.
 
Naaam am also learn english everyday everytime everywhere...
 
Upo mkoa gani.
Nenda British Council Dar hapo watakusaidia.

Watakusikiliza watakuevakuate wajue una weakness gani, Kisha watakusaidia accordingly.
 
Cheza sana na tense mkubwa hasa perfect tense mengine yatakuja yenyewe
 
Back
Top Bottom