Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,710
- 2,951
Usiseme hivo kiongozi, sometimes mtu anaweza kuamua kukukomoa tu.acha weweee kwamba ni mazoezi hadi unatamani kukimbia? mimi sikimbii.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiseme hivo kiongozi, sometimes mtu anaweza kuamua kukukomoa tu.acha weweee kwamba ni mazoezi hadi unatamani kukimbia? mimi sikimbii.......
Inaelekea ulikuwa kitombi sana, haya mazoezi na sex ni kama umeme na majiChanganya michezo ya mapigano utanishukuru. Usijikite kwenye mchezo mmoja tu labda iwe Shaolin (Sio Shaolinj).
Nimeanza kujifunza boxing.
Nilipitia karate kiasi. Nikapitia Muaithai kiasi (kiupande wangu hawa majamaa wana mazoezi magumu sana). Sasa najifunza boxing.
Ukiwa unapasha mwenyewe kuna mapigo unachanganya unakuwa unayabuni mwenyewe.
Nimeamua kuchanganya baada ya kuona wale vichaa wa MMA wanavyopigana. MMA mafunzo yao yamechanganya michezo ya aina tofauti.
Cha muhimu zaidi uwe mvumilivu wa mazoezi.
Mae geri Squat/ Squatting Geri. Siku ya kwanza nimepigishwa 100 kwa 100 zote. Nyama za nyuma ya mapaja ziliuma vibaya mno. Ukitembea unasikia kabisa miguu inaita. Ukiamka asubuhi kama haujapiga angalau squats kidogo utatembea kama una mshipa. Kwenye long call utapata tabu kidogo ile ishu ya kuchuchumaa ila mwili ndiyo unajengeka ukiwa mvumilivu.
Ukiwa unajichua na kuendekeza sex lazima zitakuwa ngumu mkuu usisahau pia na uvivu utaongezeka, pia sigara inamaliza pumzikwanini unasema squart ni ngumu?
Atakufundika online.. We tuma tu Ada hiyomimi nipo mbeya man,
that's good man. vipi upo kwenye ile app ya kuchezea draft?......it would be great if everyone on the world know Karate because it would be a less violence because karate training is a philosophy...it's not only physical training but it strengthen your physiology,emotional and mental .... People who are good in martial arts never use it because when you you bring trouble to me..i push it away......Chuck Norris...
Hapana Mkuu sipothat's good man. vipi upo kwenye ile app ya kuchezea draft?
Miaka ya nyuma nlikuwa nacheza sana ngumi,nlikuwa vzr sanaSema sasa wengine tupo mkoani mzeebaba
Mdg mdg kutoa jasho tulakini si unaendelea kula tizi kiasi!!!
Ahh wapi Mzee!⁴
Inaelekea ulikuwa kitombi sana, haya mazoezi na sex ni kama umeme na maji
Mbona kama hii ndio hufundishwa jeshini mkuu hasa special forces?Hatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa
Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto
Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema
Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia
Kifupi unafundishwa mambo mengi sana
Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
Hata mimi ninaelewa hivyo.mbona nilisikia kwamba combat ni ya wajeda haifundishwi dojo za uraiani, ila sijui kama ni kweli.
Inanifikirisha [emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]
Hivi unajua kuwa wako walimu wa COMBAT huku mitaani wanaopewa nafasi kufundisha baadhi ya wanafunzi wa huko ULIKOKUTAJA?!!!
Huwa wanafundishwa adabu na utii huwezi kuamini. Ila unawajengea mazingira ya kujiamini hawawezi kuonewa kizembe mtaani.watoto wangu, naona itawafaa....au ndio ntawafundisha afu waje kunitembezea kichapo mi mwenyewe make watoto wa siku hizi nao hawaeleweki
Jana na leo nimepiga push ups 80,Leo 70 mwili unauma hatari hivyo vichura sijui itakuwaje maana tangia shule ya msingi sijawahi tena. Mazoezi yanahitaji moyo mkuu.Hapana sio kweli, ila ni lazima ujue kupiga push ups ili uwe na ngumi nzito pia ukomae kwenye kupiga nakoz
Kifupi push ups ni mazoezi ya kuanzia