Nahitaji kujifunza Martial Art


Inaelekea ulikuwa kitombi sana, haya mazoezi na sex ni kama umeme na maji
 
Zanakj pale ndiyo kuna dojo ya ukweli

Wenginr wote mbwmbw

Ova
 
......it would be great if everyone on the world know Karate because it would be a less violence because karate training is a philosophy...it's not only physical training but it strengthen your physiology,emotional and mental .... People who are good in martial arts never use it because when you you bring trouble to me..i push it away......Chuck Norris...
 
that's good man. vipi upo kwenye ile app ya kuchezea draft?
 
Miaka ya nyuma nlikuwa nacheza sana ngumi,nlikuwa vzr sana
Lakini nlikuwa najifua kwa kujilinda tu
Nlifuliwa sana na yazidu

Ova
lakini si unaendelea kula tizi kiasi!!!
 


Inaelekea ulikuwa kitombi sana, haya mazoezi na sex ni kama umeme na maji
Ahh wapi Mzee!

Huwa sisumbui wanawake ila wao ndiyo wananisumbua. Muonekano wangu una taswira ya mtoto wa mama/bi shoo na wengine wamefika mbali na kudai Hammaz ni HB. Nasumbuliwa na allergy kibao! Tumbo langu kula vyakula vya mtaani haliwezi ni kila tu naendesha. Hivyo nina aina ya vyakula vyangu ninavyokula.

Mazingira hayo wakati nasoma yalinifanya nionekane wa kishua na muonekano wangu daaah ulinigharimu! Ukizingatia huwa sina habari na mambo yasiyonihusu ilikuwa ni balaa! na mapigo yangu yalikuwa ni ya ki-hip hop kisa mimi mweupe wanapagawa kabisa.

Hapo sasa wanawake ndipo walipoanza kunisumbua. Nimekaza mwanangu mpaka basi! Wana wananiona mimi mayai kumbe mwamba makarateka! Ila kuna wawili walinivuruga Mzee Faith na Lulu ni black wa ukweli hivi! Ila aliyenivuruga zaidi alikuwa ni Faith. Tatizo alikuwa ni sister duu na kwa muonekano wangu alidhani mimi ni brother man.

Mwamba nilikaza mpaka basi! Kuna siku yale mambo yamejaa kibubu nikasema huyu "she" nipite nini?! Mbaya zaidi master alikuwa anapenda kufanya demo na mimi zaidi. Kwa vile sikiwahi kukutana na mwanamke yeyote kimwili nikawa muoga! Mungu anisamehe nikajichua bhana! Jioni kwenye mazoezi nilifikisha squat ya 50+ mapaja yakaanza kuita. Nikawahi kuchoka na maumivu ya mwili nikawa nayasikia mapema tu. Master akaniangalia halafu akanipotezea.

Napenda sana mazoezi. Tatizo sasa hivi kazi zinanibana! Inafika kipindi mpaka naweka equation na kuikokotoa ili niangalie uwepesi wa kazi yangu niufanyaje ili nipate muda. Huwa nafanya mazoezi kwa masaa 3 mpaka 4. Sasa nafanya kwa nusu saa najisikia vibaya sana.
 
Mbona kama hii ndio hufundishwa jeshini mkuu hasa special forces?
 
Hapana sio kweli, ila ni lazima ujue kupiga push ups ili uwe na ngumi nzito pia ukomae kwenye kupiga nakoz

Kifupi push ups ni mazoezi ya kuanzia
Jana na leo nimepiga push ups 80,Leo 70 mwili unauma hatari hivyo vichura sijui itakuwaje maana tangia shule ya msingi sijawahi tena. Mazoezi yanahitaji moyo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…