Nahitaji kujifunza Martial Art

Nahitaji kujifunza Martial Art

Nje ya Mkoa huwaga tunatumia zoom lakini kimsingi Kwa mtu anayeanza anatakiwa apate Mafunzo Physical.
Ili ukiguswa sehemu za mwili uelewe Kwa urahisi
hii kweli inabidi iwe physically maana mimi ni beginner pure
 
vipi sasa kama umejifunza ukawiva alafu hakuna mtu anaekuchikoza si utashindwa pakwenda kuapply ujuzi au inakuaje hapo
Na hicho ndicho cha kujiandaa nacho..ungekuwa uko vizuri hata huo ugomvi wa club usingetokea..yaani ungedharau tu au wewe hata kama ulikosewa ungeomba msamaha.
 
Martial art kujifunza muhimu,,,, Walevi sijui wanawaonaje watu wanaokunywa maji tu bar hahah
 
Kwa wanaohitaji kujifunza Martial arts,
Self - defence
Wanaweza kunicheki

Tuma neno "Martial arts"
0693322300

Uwe Dar es salaam.

Dojo lipo Upanga karibu na ubalozi wa uswizi,
Jingine Mikocheni Pale Azura.

Tsh 15,000 Kwa kipindi,
Kwa mwezi 140,000/=
Nakuona" Kanji Sempai "RH🤣

Arigatou gozaimashita 🙏
 
Piga Kombat mzee,

Binafsi siwezi kusimama na mtu zaidi ya dakika moja, yaani dakika moja hutoboi
Acha kumdanganya mwenzio mkuu, kwamba wewe unaweza kushinda kwa Kila pambano hapa chini ya jua, Nina wasiwasi na sehemu ulipochukua hiyo Kombat yako.
 
Mkuu ina maana hata mfukoni hukua na 🔪
kutembea na kisu kutakufanya uonekane wewe ndio mkorofi, kwenye nyumba za starehe Kuna Kila aina ya silaha ni Chupa,class,viti,meza,fimbo za pull table na mipira yake vyote ni silaha tatizo nikukosa ujasiri tu wakuvitumia, unatakiwa uwe "Chizi kiasi"ndio maana Wakora wengi huvuta bangi na kutumia vilevi vikali ili viwavyatuwe.
 
UWE unatembea na vilainishi pia.....na martials art zako ukiguswa na nyembe kwenye mshipa mkubwa hutoki mkkuuu......usiishi kizembe...
 
Back
Top Bottom