Nahitaji kujua ama Kanisa Wanalosali hawa Mawaziri Wawili au Waganga Wao wa Kienyeji wanaowatumia au Mizimu yao wanayoitumia tafadhali

Nahitaji kujua ama Kanisa Wanalosali hawa Mawaziri Wawili au Waganga Wao wa Kienyeji wanaowatumia au Mizimu yao wanayoitumia tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Waziri Jenista Mhagama
2. Waziri Dk. Mwigulu Nchemba

Sitaki Kuulizwa Swali kwanini nimewataja hawa au nimeomba hivi kwani ukiwa na Akili Timamu tu utajua ipi sababu.
 
Nilishasikia kuwa huyo namba moja kwa kupuliza ni balaa.. Ila anapopulizia ndio sikuambiwa..
Mkuu umenifanya Nicheke sana hadi hawa Wanajeshi wa Museveni hapa Ofisini wamenishangaa. Nimewaambia nao wawe wanautembelea huu Mtandao wa JamiiForums kwani licha tu ya Wao kujifunza Lugha yetu nzuri ya Kiswahili ila kuna Jukwaa lao pia Watu wa Uganda hivyo watakuwa nao Wanaburudika, Wanahabarika na Kuelimika na JamiiForums na nashukuru baadhi sasa wameanza Kujiunga ila ID's zao zote nazijua kwani hawajui kuwa hapa tunatakiwa kuwa Wasiri kwa Majina yetu.

Mtoto wa Nyoka huzaa Nyoka tu.....Kudadadeki.
 
Back
Top Bottom