Mkuu umenifanya Nicheke sana hadi hawa Wanajeshi wa Museveni hapa Ofisini wamenishangaa. Nimewaambia nao wawe wanautembelea huu Mtandao wa JamiiForums kwani licha tu ya Wao kujifunza Lugha yetu nzuri ya Kiswahili ila kuna Jukwaa lao pia Watu wa Uganda hivyo watakuwa nao Wanaburudika, Wanahabarika na Kuelimika na JamiiForums na nashukuru baadhi sasa wameanza Kujiunga ila ID's zao zote nazijua kwani hawajui kuwa hapa tunatakiwa kuwa Wasiri kwa Majina yetu.