Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM

Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM

Mmmm Meneja wa Makampuni unakuja na mada isiyoeleweka sasa nitakuamini vipi kuendesha kampuni yangu?huyu uliyemtaja anagombea ubunge wapi?but definitely huku Lingusenguse hatuna mgombea wa jina hilo na uchaguzi hatuna!
 
minimum qualification ya kugombea ubunge ni just kujua kusoma na kuandika tuu, nadhani ni darasa la tatu au lanne hivi,
 
Anagombea jinja au masaka
zifuatazo ni sifa ya mgombea ubunge , 01- awe raia wa Tanzania 02.ajue kusoma na kuandika , awe awe mwanachama wa chama cha siasa kilichosajiliwa kisheria, asiwe ameshaitakiwa kwa kosa la jinai n.k
 
Anagombea wapi Huyu ndugu?, hembu fafanueni basi?
Tangu CHADEMA waache kugombea hizi chaguzu ndogo hatuzisikii kiviiiiileeee.
 
Nawashangaa sana MODERATORS wa JF. Kuna mada nzuri tu zikifunguliwa zinafutwa immediately.


Lakini pumba kama za huyu Meneja Wa Makampuni utakuta zinaahinda hapa mpaka zinafikia pages 2 au 3
 
Kila mtu ana stress ndugu kutokana na maisha yake

Hamna mtu hana shida,Gates mwenyewe kila siku analia

Wewe mwenyewe hapo una shida zako mpaka kwenye ukope,upo hapa unanitolea hukumu!

Jesus!
Pole sana ila tafuta jinsi ya kuondokana nazo maana michango yako JF yaonesha mambo siyo mazuri kwa upande wako.
 
Back
Top Bottom