Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM

Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM

Mmmm Meneja wa Makampuni unakuja na mada isiyoeleweka sasa nitakuamini vipi kuendesha kampuni yangu?huyu uliyemtaja anagombea ubunge wapi?but definitely huku Lingusenguse hatuna mgombea wa jina hilo na uchaguzi hatuna!
Sasa ndugu hiyo mada haieleweki kivipi, jaribu kudadavua labda unaweza kueleweka. Sio kulalamika, ukiona uzi hauuelewi ni vyema ukatulia tu na sio kuwaharibia siku wachangiaji.
 
Nawashangaa sana MODERATORS wa JF. Kuna mada nzuri tu zikifunguliwa zinafutwa immediately.


Lakini pumba kama za huyu Meneja Wa Makampuni utakuta zinaahinda hapa mpaka zinafikia pages 2 au 3
Mkuu huu uzi unakasoro gani, hivi kujua elimu za wagombea wetu wa ubunge ni kosa. Usipende kutoa michango in negative way bro, try to be wise.
 
Back
Top Bottom