EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Kwanini?Mods hizi ndio nyuzi za kufuta!
Unatujaribu eeeh! Siri za jandoni zinabakia jandoni,kule kwetu zenjibar hua wanawake Wana msemo wao kuwa,mwanamke asieolewa haendi harusini,Sasa wewe wataka ya harusini ya Nini?.
Ninahitaji kujua mambo kadhaa yanayohusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na askari wa vyeo tofauti tofauti vya kijeshi.Kuanzia cheo cha chini kabisa mpaka cha mwisho.Namaanisha majukumu ya kila siku.Mfano ukipita lugalo unaweza kuwakuta kuruta wanafyeka nyasi sijui kazi zao ndio za aina hiyo hizo kila siku?
Na katika medani za kivita ni askari wa vyeo gani huwa wanaingia kwenye uwanja wa vita kwa maana ya kushiriki vita na sio wale wapanga mikakati.Nimekuwa nikisikia askari wa kuanzia nyota moja wanakuwa wanaamrisha kikosi cha watu kadhaa.Askari wa nyota mbili nae ana watu kadhaa zaidi ya wa nyota moja.
Utahangika kupata Majibu na najua utayapata mengi tu, ila Kazi yao Kuu ( Mama ) ni Kuilinda Tanzania na Watanzania wote kwa Gharama yoyote.Ninahitaji kujua mambo kadhaa yanayohusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na askari wa vyeo tofauti tofauti vya kijeshi.Kuanzia cheo cha chini kabisa mpaka cha mwisho.Namaanisha majukumu ya kila siku.Mfano ukipita lugalo unaweza kuwakuta kuruta wanafyeka nyasi sijui kazi zao ndio za aina hiyo hizo kila siku?
Na katika medani za kivita ni askari wa vyeo gani huwa wanaingia kwenye uwanja wa vita kwa maana ya kushiriki vita na sio wale wapanga mikakati.Nimekuwa nikisikia askari wa kuanzia nyota moja wanakuwa wanaamrisha kikosi cha watu kadhaa.Askari wa nyota mbili nae ana watu kadhaa zaidi ya wa nyota moja.
Asije akaambulia vichura chura tuNenda Upanga pale kuna ofisi za wenye vyeo vya juu jwtz kawaulize,usihofu watakufahamisha tu na utafahamu vizuri sana.pale kuuliza ni bure kabisa.
Angalizo:ukiingia mle ndani ni marufuku kuuliza chooni ni wapi,ukibanwa mkojo wewe achia mkojo tu hata kwenye kiukuta chochote pale.
Pakia ukoo wenu wote wa manyani kwenye trekta pengine ndio mkaulizeNenda Upanga pale kuna ofisi za wenye vyeo vya juu jwtz kawaulize,usihofu watakufahamisha tu na utafahamu vizuri sana.pale kuuliza ni bure kabisa.
Angalizo:ukiingia mle ndani ni marufuku kuuliza chooni ni wapi,ukibanwa mkojo wewe achia mkojo tu hata kwenye kiukuta chochote pale.
Mtu kutaka kujua jambo ndio unatafsiri kuwa nafuatilia mambo yasiyonihusu.nipe sababu 5 kwanini nisikuite mpumbavu wa wapumbavuNdugu acha kufuatilia mambo ambayo hayakuhusu!
Kama ungetaka uyajue hayo, ungetafuta nafasi uingie humo jwtz, jkt n.k!
Kama una ndugu/rafiki yako ambaye ni askari, hebu muulize hayo maswali uone kama atakujibu unavyotaka!
Hivi mfano ikatokea siku ukagundua mimi nimepata mafunzo flani hivi ambayo ni kuuwa tu, utanichukuliaje...!??
Nilifikiri una sababu za maana za kutaka uzi wangu ufutwe kumbe ni unawashwawashwa tuKwasababu njia rahisi nenda pale Lugalo, ukiingia tu ndani waulize wale ma MP.
Kwani huoni uzi umekosa wachangiaji?
Kama ulivyo weweKuruti kazi yake ni kula na kulala..
We kwani umeolewa?,naona unaleta mambo ya harusini sehemu isiyohusikaUnatujaribu eeeh! Siri za jandoni zinabakia jandoni,kule kwetu zenjibar hua wanawake Wana msemo wao kuwa,mwanamke asieolewa haendi harusini,Sasa wewe wataka ya harusini ya Nini?.
Utahangika kupata Majibu na najua utayapata mengi tu, ila Kazi yao Kuu ( Mama ) ni Kuilinda Tanzania na Watanzania wote kwa Gharama yoyote.
Kwani jamaa kakosea nini kuuliza asee!?