Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

Hivi Hao ndio wanahusiana na sekta yote ya ulinzi na usalama au ni Wajeshi tu??
 
Nenda Upanga pale kuna ofisi za wenye vyeo vya juu jwtz kawaulize,usihofu watakufahamisha tu na utafahamu vizuri sana.pale kuuliza ni bure kabisa.
Angalizo:ukiingia mle ndani ni marufuku kuuliza chooni ni wapi,ukibanwa mkojo wewe achia mkojo tu hata kwenye kiukuta chochote pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ujamuelewa dogo dogo kataka majukumu ya askari wakiwa vikosini na wala sio vitani we umeingia deap sana unavyomueleza kusu platoon mtoa mada aelewi chochote ajui platoo ajui campany ajui section ajui chochote yy mtoa mada kataka kujua kusu kazi wanazofanya askari wa JW wakiwa kwenye vikosi vyao yani majukumu yao ya kila siku yakoje???sasa mm ndo nimemsaidia kwa kumuelewesha majukumu yao ww unaongelea vitu vya ndani sana awezi akakuelewa mtoa Mada.....

Kuna mjeda cheo kikubwa tu kanitapeli hivi pale upanga panaingilika nikapate details zake vizuri?
 
Ninahitaji kujua mambo kadhaa yanayohusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na askari wa vyeo tofauti tofauti vya kijeshi.Kuanzia cheo cha chini kabisa mpaka cha mwisho.Namaanisha majukumu ya kila siku.Mfano ukipita lugalo unaweza kuwakuta kuruta wanafyeka nyasi sijui kazi zao ndio za aina hiyo hizo kila siku?

Na katika medani za kivita ni askari wa vyeo gani huwa wanaingia kwenye uwanja wa vita kwa maana ya kushiriki vita na sio wale wapanga mikakati.Nimekuwa nikisikia askari wa kuanzia nyota moja wanakuwa wanaamrisha kikosi cha watu kadhaa.Askari wa nyota mbili nae ana watu kadhaa zaidi ya wa nyota moja.
Halaf zikusaidie Nini??
 
Kwa majeshi yenye weredi ukiingia kwenye tovuti yao utakutana na hicho ulicho kiuliza,
sijui kama kwa nchi zetu hizi tunazoitwa changa kama utapata jibu sahihi.badala yake utakutana na kejeli na mipasho ya kutosha au kurushwa kichurachura
 
Majukumu yake ni yale yale, kuilinda Tanzania na raia wake na kuipenda nchi yao.
 
Back
Top Bottom