Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

Kuruta
private
Las koplo
Koplo
Sajent
Staff Sajent
Major
Luteni Usu
Luteni
Captain
.......kanali
kanali
nk................
 
Kuruta
private
Las koplo
Koplo
Sajent
Staff Sajent
Major
Luteni Usu
Luteni
Captain
.......kanali
kanali
nk................
1. Private (pte)
2. Lase koplo
3. Koplo (cpl)
3. Sergeant (sgt)
4. Staff Sergeant (ssgt)
5. Warranty officer daraja la 2 (woII)
6. Warranty officer daraja la 1 (woI)
7. Luteni wa pili ( Znd LT)
8. Luteni wa kwanza (LT)
9. Captain (CAPT)
10. Major (Maj)
11. Luteni kanal (LT Col)
12. Kanal (col)
13. Bridgedia general (Brig gen)
14. Major general ( maj gen)
15. Luten general (lt gen)
16. General (Gen)
 
Mkuu [mention]EvilSpirit [/mention]wasikutishe kuwa ni siri, mambo yapo wazi. Tuanze na vyeo kisha majukumu:

Awali: How to address a TPDF soldier, formula ni NAMBA YA AJIRA kisha CHEO kisha MAJINA YAKE. Mfano “MT 89765 SGT KUFIR RAH”

* Askari wa JWTZ asiye na “V” hata moja anaitwa PRIVATE (PRAIVETI) - PTE.

* Mwenye V moja (cheo hiki kilikuwepo zamani, siku hizi kimefutwa) aliitwa LANCE CORPORAL (KOPLO USU) - L/CPL.

* Mwenye V mbili (anayefuata baada ya PTE kwa mfumo wa sasa) anaitwa CORPORAL (KOPLO) - CPL.

* Mwenye V tatu anaitwa SERGEANT (SAJINI) - SGT.

* Mwenye V tatu pamoja na alama ya bibi na bwana kwa juu anaitwa STAFF SERGEANT (SAJINTAJI) - SSGT.

* Anafuata mwenye kolokolo (kitu kama saa huvaliwa mkononi). Cheo hiki inaitwa SERGEANT MAJOR / SARMAJOR (SAMEJA). Hawa wamegawanyika sehemu mbili:

* A. Warrant Officer I (Daraja la Kwanza) - kolokolo lake lina alama ya mwenge (kwa mbali kama wa BoT)

* B. Warrant Officer II (Daraja la Pili) / kolokolo lake lina bibi na bwana.

Cheo cha Warrant Officer ndio mpaka kati ya vyeo vya Maafisa wa Jeshi (Army Officers) na Askari Wapiganaji (Vyeo vya Chini).

Muendelezo huu unaanzia vyeo vya Maafisa wa Jeshi:

* Nyota moja anaitwa LUTENI USU (2nd LIEUTENANT)

* Nyota mbili anaitwa LUTENI (LIEUTENANT)

* Nyota tatu anaitwa KAPTENI (Captain)

* Bibi na bwana (begani) anaitwa MAJOR (MEJA) - huyu ni kiungo katika medani za mapigano jeshini.

* Bibi na bwana + nyota moja anaitwa LUTENI KANALI (LT. COLONEL).

* Bibi na bwana + nyota mbili anakuwa KANALI (COLONEL).

* Bibi na bwana + nyota moja + mkasi anaitwa BRIGEDIA (JENERALI)

* Mkasi na bibi na bwana + nyota mbili anaitwa MAJOR GENERAL

* Ikiongezeka nyota moja hapo (jumla tatu) anaitwa LUTENI JENERALI

* Ikiongezeka nyota moja kwa juu (mkasi + bibi na bwana + nyota nne) anaitwa JENERALI, ambaye huwa ni mmoja tu MKUU WA MAJESHI YA ULINZI (CDF).

Jisomee zaidi hapa: Rank and insignia of the Tanzanian Armed Forces | Wikiwand

UZI UJAO NITATOA KAZI ZAO.

View attachment 1905101

....
View attachment 1905102
Nashukuru kwa muongozo uliotukuka mkuu
 
Heeee!! Wee dogo bana jiangalie sana!! Sikia ..Jiwe siyo mjeda yule hata jkt alikuwa mafunzo ya kawaida sana...kule ndani ya jkt kuna kambi nyingine tena maalumu inaitwa HQ, hawa wana mafunzo Maalum. Tofauti na wengine wote!! Ikiwa ni pamoja na

kulenga shabaha tu kila siku!! Sasa hawa ndo wajeda maalum ajili ya kazi maalum juu ya maadili ya viongozi Maalumu wenye hila mbovu na...

tamaa na
katili.
wakiukaji wa viapo,
wasio na mipaka.
wasaliti Wa nchi.
Wakurupukaji km vichaa.

utakutana na hii red brigade Si utani....hawa hawarudiga nyuma..wao ni daima mbele.si unamjua kolimba lkn?? Haya...

Huyu jiwe ni wazi alitaka kuleta vitamaa flani flani hivi vya upendeleo wa wazi km
kwao!!
Na kukaa sana madarakani.
Kuwaponda watangulizi wake tena basi raia anamponda mjeda.wakati jeshi linakulinda.... weee!

Haya yoote na mengine wote mnajua humu. Hawa jamaa kamwe hawatakuacha salama. Si unaona mwanajeshi jk aliachia urais kiubweeete!! Alijua muziki wake.

Lkn jiwe alijitengenezea mazingira ya kuendelea kudumu.

Na yule kijana Msiba ni shushu wa jeshi miaka mingi tunamjua fika alikuwa anakwenda nae sambamba tu bila jiwe kujua..

Si unaona sasa hivi Msiba yuko Wapi??....yupo katikati mle Lugalo juu... km mjeda wa kawaida sana. anakula bata brigadier mess akivaa kombati utamjua?? Hata humsogelei...

Jiwe alitaka kubomoa misingi aliyoweka Baba wa taifa aunde nchi upya.. Anavojua yeye...alisahau kuwa yeye ni raia tu....kuna watu humo wamekula viapo kuilinda hiyo misingi...mpaka kifo!!

Sikia Ambao wangeweza japo kidooogo na kwa uchache ni...

Abdulrahman Kinana...
Mzee wa Msoga....
Makamba Mkubwa..
Cap.John komba nk..

Si unaona!! Kina kinana Walimsema wakijua ata jua kuwa wanamsema wao kwani walitikisika.....zaidi jiwe akawaomba kwenye campeni. Sababu alikumbana na visiki hatari akawa mpole.

Lkn huyu jiwe huyu.... Pwiiii!! Anamkashfu Mjeda kabisa kikwete Monduli graduants mchana kweupeee bila hata aibu... thubutuuuu....sijui alikuwa jkt ya wapi?? Ambao hawakujua kumfundisha nidhamu.....

Nadhani alikuwa serure wa kudumu yule. Jkt mnafundishwa nidhamu na uvumilivu ambao jiwe hakuwa nao...

gwaji boy nae huyu atakikimbia chama soon!!... Walio mwambia agombee ccm walijua anataka urais sasa changa la macho hawezi pata hiyo nafasi ajili alimkashfu kiongozi mkubwa...anaiga Iga tu ndo kapigwa kitu sasa amekaa topeni...alimkashfu mnene!! Sasa utaona km atarudi bungeni tena safari ijayo... Mungu alisema " tiini Mamlaka"..ndo kifungu watakacho tumia kumpigia... Umeelewa sasa au unaona nyota *****/^^^^....********

Baadhi wanaweza kuhisi kwenye maelezo yako kuwa ume puyanga ,binafsi nnaamini katikati ya maelezo yako upo ukweli kiasi fulani hivi.

Shukrani.
 
1. Private (pte)
2. Lase koplo
3. Koplo (cpl)
3. Sergeant (sgt)
4. Staff Sergeant (ssgt)
5. Warranty officer daraja la 2 (woII)
6. Warranty officer daraja la 1 (woI)
7. Luteni wa pili ( Znd LT)
8. Luteni wa kwanza (LT)
9. Captain (CAPT)
10. Major (Maj)
11. Luteni kanal (LT Col)
12. Kanal (col)
13. Bridgedia general (Brig gen)
14. Major general ( maj gen)
15. Luten general (lt gen)
16. General (Gen)
Haya majukumu ya kila cheo
 
Jiulize kwanini opozit kuna kile kiospitali ukiingilia ttcl
 
Mm nitakuelekeza yote kwa niaba ya watu wengine wajue humu ndani hakuna mtu anae nijua mm humu mana mm nipo kwenye iyo kazi nitakuelekeza yote ujue mdogo wangu nipo kwenye iki chombo tokea mwaka 2001 na nimeingia nikiwa na umri wa miaka 16 tuu nimeona mengi na nimeshuhudia mengi mno nitakueleleza ujue majukumu yao tuu vitu vingine sito visema ila nitasema kuhusu majukumu yao tu.

Naanza na vyeo vya maaskari.

Private (aka shati tupu)
Huyu hana ni askari ambae ametoka mafunzoni mda si mrefu ili awe askari kamili anafanya coz inaitwa level 3 hi coz akifanya ndo upewa na kuruhusiwa kufanya fatiki za kijeshi na hii level 3 ni coz ya miezi mi 3 tu akimaliza hii coz sasa ndo upewa majukumu kama yafuatayo itategemea na kikosi ambacho yupo na command ambayo yupo command namanisha matawi haya ya jwtz na izi branch zipo 5 ya kwanza Makao makuu,ya pili Nyika ya tatu Wanamaji Navy,ya Nne Anga ya tano Jeshi la kujenga taifa private majukumu yake makubwa ni
Kulinda,kufyeka,kufanya usafi wa kikosi kwenda mission mbali mbali ambazo ni ndogo ndogo,kama ana professional mfano ya kuendesha gari bac ataendesha gari za jeshi ila lazima aende coz ya kujifunza kuendesha gari za jeshi ila private kazi yake kubwa ni kulinda guard bac iyo ndo kazi yake kubwa...

Lance Copro.(V moja)
Huyu majukumu yake ni kulinda na kuwangalia maprivate cheo iki mara nyingi uwa ni cha upendeleo tuu.

Copro(V mbili)
Huyu ndo kila kitu jeshi majukumu yake ni kutoa mafunzo kwa maafisa kutoa mafunzo kwa askari makuruti kulinda pia huyu anakuwa ana section nyingi sana za kupiganisha vitani huyu ni kama kiungo jeshini...

Sargent( V tatu)
Huyu kazi yake kubwa ni kufundisha,kulinda,kufanya shughuri ndogo ndogo pia kutoa amri kwa askari walio chini yake ni afande mzuri sana huyu

Staff sargent(bibi na bwana na V 3)
Huyu ni sir major huyu ndo mkubwa wa maskari wadogo wadogo wote kazi yake kubwa kuwafanya askari kuwa pamoja kupanga detail za kazi kikosini kuandaa order mbali mbali..

Mteule daraja la kwanza (lisaa korokoro analivaa mkononi)
Huyu kazi yake kubwa ni kuwafanya askari wawe na utulivu kikosini.

Mteure Daraja la pili (lisaa analivaa mkononi lililo na rangi nyekundu limekoza lina bibi na bwana)
Huyu kazi yake kuwa fanya skari wawe na nidhamu na kutoa adhabu mbali mbali kwa maskari watukutu.. iyondo kazi yake kubwa..nitaendelea....
Nimesoma Kizuka TPDF nawajua vizuri sana hawa hakuna ulipo eleza uongo
 
Hamna hata mtu yeyote mwenye msaada.Ni bora mkae kimya Kuliko kujaza mavi yenu humu.
Shida ya Watanzania wanajifanya wanajua kila kitu lakini kumbe ni zero brain hakuna mtu mwenye anajua ,, ila watajifanya wanajua , na watajificha kwenye mgongo wa sector nyeti,, na ukiwa mbumbumbu humu Jf bila kuchanganua mambo utajikuta unabeba kila wazo na akili ya mtu ...
 
Shida ya Watanzania wanajifanya wanajua kila kitu lakini kumbe ni zero brain hakuna mtu mwenye anajua ,, ila watajifanya wanajua , na watajificha kwenye mgongo wa sector nyeti,, na ukiwa mbumbumbu humu Jf bila kuchanganua mambo utajikuta unabeba kila wazo na akili ya mtu ...
Umeseme ukweli.mtupu jamaa yangu
 
Back
Top Bottom