Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

Hivi Hao ndio wanahusiana na sekta yote ya ulinzi na usalama au ni Wajeshi tu??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kuna mjeda cheo kikubwa tu kanitapeli hivi pale upanga panaingilika nikapate details zake vizuri?
 
Halaf zikusaidie Nini??
 
Kwa majeshi yenye weredi ukiingia kwenye tovuti yao utakutana na hicho ulicho kiuliza,
sijui kama kwa nchi zetu hizi tunazoitwa changa kama utapata jibu sahihi.badala yake utakutana na kejeli na mipasho ya kutosha au kurushwa kichurachura
 
Majukumu yake ni yale yale, kuilinda Tanzania na raia wake na kuipenda nchi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…