Nahitaji kujua meditation classes kwa hapa Arusha

The realy Ngosha

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
340
Reaction score
529
Habari wanajanvi, nipo arusha nahitaji kujua zilipo meditation temples/classes kwa hapa arusha mjini. Natanguliza shukrani zangu za dhati!
 
Mimi mwenyewe hapa arusha nimesarch hii elimu sijaipata kabisa. Alafu inaonekana hapa arusha hii elimu haijulikani vizuri
 
We ukishakuwa tayari tu mwalimu atatokea... Endelea kujiweka tayari kwa kusoma zaidi

We ukishakuwa tayari tu mwalimu atatokea...

Duh! Tunaomba utufafanulie kidogo hapo ndugu Jimena
 
Last edited by a moderator:

Labda mimi nimemuelewa, ni hivi ananipa imani kua nothing imposible if you believe. mawazo yanaumba. nikiwaza na kuamini kutokea kwa mwalimu, atatokea. nsipoamini ndo basi. tena. hapo naumba kutokea kwa mwalimu kwa kutumia the "power within".
 
Sio kama nakupa imani ila huo ndo ukweli wenyewe..... Asante kwa kunielewa
 
Tunaamini kuwa mwanafunzi akiwa tayari mwalimu atatokea
Sasa ichukue hiyo na Trust me itafanya kazi

Sio kama nakupa imani ila huo ndo ukweli wenyewe..... Asante kwa kunielewa

Mnanichanganya eti maana hili jambo lilinitokea!
 
Yaani huwezi amini.
Nilipokuwa na shauku ya kujitambua, nilishangaa kuona mtu ananisalimia inbox kwangu /Facebook ambae ndio mwalimu wangu.
 
Back
Top Bottom