The realy Ngosha
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 340
- 529
Habari wanajanvi, nipo arusha nahitaji kujua zilipo meditation temples/classes kwa hapa arusha mjini. Natanguliza shukrani zangu za dhati!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima itakuwepo
Mbeya je ipo?
ok ntajaribu kuulizia.
We ukishakuwa tayari tu mwalimu atatokea... Endelea kujiweka tayari kwa kusoma zaidi
Labda mimi nimemuelewa, ni hivi ananipa imani kua nothing imposible if you believe. mawazo yanaumba. nikiwaza na kuamini kutokea kwa mwalimu, atatokea. nsipoamini ndo basi. tena. hapo naumba kutokea kwa mwalimu kwa kutumia the "power within".

Tunaamini kuwa mwanafunzi akiwa tayari mwalimu atatokea
Sasa ichukue hiyo na Trust me itafanya kazi
Sio kama nakupa imani ila huo ndo ukweli wenyewe..... Asante kwa kunielewa
Mnanichanganya eti maana hili jambo lilinitokea!
ulipokua tayari mwalimu alikuja si ndiyo?
Haswaa! Ndio maana nikashangaa
Yaani huwezi amini.
Nilipokuwa na shauku ya kujitambua, nilishangaa kuona mtu ananisalimia inbox kwangu /Facebook ambae ndio mwalimu wangu.
Yaani huwezi amini.
Nilipokuwa na shauku ya kujitambua, nilishangaa kuona mtu ananisalimia inbox kwangu /Facebook ambae ndio mwalimu wangu.