Nahitaji kujua namna ya kutokuwa na hasira

raia_mwema

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
479
Reaction score
314
Ndugu zangu nisaidieni, nina rafiki wangu ana hasira sana, japokuwa hapendi hiyo hali, ni mwepesi sana wa hasira na amekuwa akireact mno na kukasirishwa na mambo madogo madogo.

Kwa ujumla hapendi hiyo hali na anaomba tumshauri namna ambayo anaweza kubadilika kabisa na kuondokewa na hiyo hali ya hasira.
 
itakua hajagegedwa au hajagegeda siku nyingi huyo!!Aje love connect watu wamshughulikie(joke)!! wanasema mtu akikasirishwa sana na vitu vidogovidogo anakua amekosa UPENDO(LOVE) ,bado muda anao anaweza kuanzia kujifunza kuanzia hapa kwa hata kujitolea kuwasaidia watu wasiojiweza ,wagonjwa n.k
 

asante sana ndugu yangu
 
Kujua tatizo ni moja ya matibabu
Ajitahid kutokuwa na mawazo Mara kwa Mara pia aepuke mazingira yanayomsababishia hasira
Aeneze upendo zaid apende kunywa maji mengi hasa pale anapopatwa na hasira
 
Ajue kukasirika au kutokukasirika ni uamuzi wake. Sio lazima mtu akikukwaza ukasirike. Afanye mazoezi ya 'deep breathing' na pia Ajifunze kudhibiti hisia zake.
 
mod naomba hii thread uihamishie jf doctor tafadhali, hapa utani mwingi mno
 
fanya tafakuri jadidi/insight meditation au breathing meditation itakufaa mno
 
Ni kweli kakosa upendo, dawa aanze yeye kupenda hiyo hali itakwisha maramoja
 
aaaaahahaahhh Mwekundu bana daaa kwaio ndio sababu
 
Jarbu kunakifaa maalum knaitwa ugly controler fanya uknunue chaguo n lako maana vpo vya aina mbil moja wireless uc. Na cha pil ni chakuning'nza shngon lol natania. Hasira sio ugonjwa bal hasira unaipandikza na roho mbaya.na siung mkono hoja
 
pole kaa mbali na wanaokusababishia hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…