raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
Ndugu zangu nisaidieni, nina rafiki wangu ana hasira sana, japokuwa hapendi hiyo hali, ni mwepesi sana wa hasira na amekuwa akireact mno na kukasirishwa na mambo madogo madogo.
Kwa ujumla hapendi hiyo hali na anaomba tumshauri namna ambayo anaweza kubadilika kabisa na kuondokewa na hiyo hali ya hasira.
Kwa ujumla hapendi hiyo hali na anaomba tumshauri namna ambayo anaweza kubadilika kabisa na kuondokewa na hiyo hali ya hasira.