Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa ukisema kama ni wewe tatizo nini?!ndugu zangu nisaidieni, nina rafiki wangu ana hasira sana, japokuwa hapendi hiyo hali, ni mwepesi sana wa hasira na amekuwa akireact mno na kukasirishwa na mambo madogo madogo.
Kwa ujumla hapendi hiyo hali na anaomba tumshauri namna ambayo anaweza kubadilika kabisa na kuondokewa na hiyo hali ya hasira.