Nahitaji kujua namna ya kutokuwa na hasira

Nahitaji kujua namna ya kutokuwa na hasira

Jitahid kuepuka msongo wa mawazo,kujitenga and muombe Mungu akusaidie yawezekana ni pepo la hasira!
 
ndugu zangu nisaidieni, nina rafiki wangu ana hasira sana, japokuwa hapendi hiyo hali, ni mwepesi sana wa hasira na amekuwa akireact mno na kukasirishwa na mambo madogo madogo.

Kwa ujumla hapendi hiyo hali na anaomba tumshauri namna ambayo anaweza kubadilika kabisa na kuondokewa na hiyo hali ya hasira.
sasa ukisema kama ni wewe tatizo nini?!
 
Kunywa maji inapotokea hali hiyo......Pia pendelea kula ndizi mbivu na jamii ya mbegu kama karanga mbichi kwa muda mrefu huwa inaondoa inapunguza hasira mara nyingi..........
 
Back
Top Bottom