Nahitaji kujua namna ya kutokuwa na hasira

Jitahid kuepuka msongo wa mawazo,kujitenga and muombe Mungu akusaidie yawezekana ni pepo la hasira!
 
sasa ukisema kama ni wewe tatizo nini?!
 
Kunywa maji inapotokea hali hiyo......Pia pendelea kula ndizi mbivu na jamii ya mbegu kama karanga mbichi kwa muda mrefu huwa inaondoa inapunguza hasira mara nyingi..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…