kambipopote
Senior Member
- Nov 15, 2010
- 122
- 22
Habari wanajamvi. Nahitaji kukodi Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama kwa siku moja tu ya tarehe 12/12/2020. Nipo Dar na nitavihitaji kwa ajili ya shughuli Dar.
Tafadhali mwenye navyo tuwasiliane DM.
Shukrani
Tafadhali mwenye navyo tuwasiliane DM.
Shukrani