K kambipopote Senior Member Joined Nov 15, 2010 Posts 122 Reaction score 22 Dec 1, 2020 #1 Habari wanajamvi. Nahitaji kukodi Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama kwa siku moja tu ya tarehe 12/12/2020. Nipo Dar na nitavihitaji kwa ajili ya shughuli Dar. Tafadhali mwenye navyo tuwasiliane DM. Shukrani
Habari wanajamvi. Nahitaji kukodi Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama kwa siku moja tu ya tarehe 12/12/2020. Nipo Dar na nitavihitaji kwa ajili ya shughuli Dar. Tafadhali mwenye navyo tuwasiliane DM. Shukrani
dicloppa JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 278 Reaction score 407 Dec 1, 2020 #2 Laki tano unazo nikukodishe vyote vitatu? Usafiri wa kuvifata na kurudisha ni juu yako mimi niko Airport hapa Dar es salaam
Laki tano unazo nikukodishe vyote vitatu? Usafiri wa kuvifata na kurudisha ni juu yako mimi niko Airport hapa Dar es salaam
K kambipopote Senior Member Joined Nov 15, 2010 Posts 122 Reaction score 22 Dec 1, 2020 Thread starter #3 Laki tano parefu dicloppa said: Laki tano unazo nikukodishe vyote vitatu? Usafiri wa kuvifata na kurudisha ni juu yako mimi niko airport hapa Dar es salaam Click to expand... Laki tano parefu sana
Laki tano parefu dicloppa said: Laki tano unazo nikukodishe vyote vitatu? Usafiri wa kuvifata na kurudisha ni juu yako mimi niko airport hapa Dar es salaam Click to expand... Laki tano parefu sana
Evans Richard Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 366 Reaction score 759 Dec 2, 2020 #4 Laki 320 Kama uko serious