Wee jamaa!! RIBA ndo manake ilikatazwa!!!,,,nilishuhudia ndugu yangu kakopa bank moja hapa dsm sitaki kuitaja,aliweka dhamana ya nyumba yenye thamani ya millioni 52,akachukua mkopo wa millioni 14 ili aboreshe biashara yake iliyokuwa ikiyumba,sasa basi kila akiwa anataka kurejesha,mara mama mkwe kafa,na yeye ndo tegemeo ukweni,akagharimia msiba baada ya kwenda kuchonga na loan officer kimtindo ili riba iminywe,kumbe mwenzake anakaza, baada ya msiba akawa anasubiri mkaa wake aliokuwa akiuchoma kisarawe kijangili auze apate fungu arudishe kiasi cha riba na kingine aboreshe biashara,kudadeki,,mali asili wakakamata!!!!,,,,,da!!! hajakaa saw jamaa wa benki wankamwonyesha mahesabu yake,kuna mpaka COMPAUND INTEREST,,,,,da!!!! mara paaaaaaaaaaaaaaaaaaap!!! jamaa kapata stroke,hajakaa sawa BANK wakaja kupiga mnada!!! mzee wa wa2 akadanji,kaacha familia inapigika vibaya!!! mkewe kawa KIGODORO CHA MASELA!!!...achana na hiyo ki2 man,,,shukuru unapakulala wewe na familia yako man,,,kama ngoma ngumu,tafuta meza sehemu choma ata mahindi!!! "SHAURI YAKO"