Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia hicho kipato chako cha laki 5 kujenga. Achana na mkopo wa Bank utajutaaaaa.Habari,ninahitaji kujenga nyumba simple mshahara wangu laki 5 jee nikisema nijilipue NMB au CRDB nivute mkopo wa million 9 nitakuwa nakatwa shillings ngapi? msaada please [emoji120]
Vipi mkuu unashangaa jamaa anavyosotea laki tano mwezi mzima? Kwa watz wengi hiyo ni nyingi sanaDuh laki 5.
Mbona hili jukwaa mnalikosea heshima?Habari,ninahitaji kujenga nyumba simple mshahara wangu laki 5 je nikisema nijilipue NMB au CRDB nivute mkopo wa million 9 nitakuwa nakatwa shillings ngapi? msaada please [emoji120]
Kwa mda gani utataka ukatwe?Habari,ninahitaji kujenga nyumba simple mshahara wangu laki 5 je nikisema nijilipue NMB au CRDB nivute mkopo wa million 9 nitakuwa nakatwa shillings ngapi? msaada please [emoji120]
Shukrani dada ubarikiwe kwa haya mawazoKama vile mkopo mkubwa sana ukilinganisha na pay yako.
Japo waweza katwa miaka 3 lakini makato yatakuwa si chini ya shilingi laki tatu monthly.
Kopa mil.5 usimamishe pagala kwanza. Kuezeka uje kukopa tena.
Ukubwa wa makato yako utategemeana na muda wako wa mkopo ( uHabari,ninahitaji kujenga nyumba simple mshahara wangu laki 5 je nikisema nijilipue NMB au CRDB nivute mkopo wa million 9 nitakuwa nakatwa shillings ngapi? msaada please [emoji120]
Shukrani [emoji120]Ukubwa wa makato yako utategemeana na muda wako wa mkopo ( u
Uhai wa mkopo ).
Ukikopa miaka mingi, utakatwa pesa kidogo ila deni utalilipa kwa muda mrefu sana na jumla ya pesa utakayorejesha itakuwa KUBWA.
Na vice versa is true.
Kumbee[emoji44]Kopa tu dogo, kama uko serikalini unaweza kurejesha kwa miaka mi-5 Tenaaaa! Makato yatakuwa kama 333,000 kwa mwezi utabakiwa na kama 170,000 kwa mwezi (ila kama hiyo laki 5 ni take home). Deni hilo utarejesha kwa miezi 60 na utawapa benki zaidi ya 6 m kama interest! Kazi kweli kweli!!
Kopa nmb muda miez 84 ..... Utabaki kama na 300, 000+ take homeKumbee[emoji44]