Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Sasa... Unalaumu mtu kumwaga mbegu ulitaka akumwagie udongo? Mwache baba yake amchukue mtoto. Ninyi mnatumia watoto kama mtaji.Mimi ni baba yako ngedere weye.Unamwaga mbegu hovyo hujui kuoa?
Pole sana
Mwanamke mjeuri
Mama mtoto mjeuri
Mtoto.......
Mungu akusaidie
Muache mtoto akae kwa mama ake.Wakuu nina mwanangu ambaye nilizaa na mke wa kwanza ambaye tumeachana miaka sita iliyopita.
Na hivi sasa mtoto ameshafikisha umri wa miaka 8,nahitaji kumchukua mwanangu nikae nae,naomba msaada wa kisheria tafadhal.
Mtaji kivipi?Sasa... Unalaumu mtu kumwaga mbegu ulitaka akumwagie udongo? Mwache baba yake amchukue mtoto. Ninyi mnatumia watoto kama mtaji.
Mama yake anataka pesa ya matumizi nyumbani.Mtaji kivipi?
Ukiwa na mtoto kwa mama yake mlipie fees nenda shuleni kalipe, mkatie bima ya afya, siku akija kwako mfanyie shopping. Mama yake usimpe chochote.
Acheni makasiriko kama kweli mmeachana. Hayo mavutano yenu ni kwaajili yenu hata hayamnufaishi mtoto.Ndugu cjawahi kuwa na mahusiano na mwanamke jeuri kama huyo,mtoto nimekuwa nikimsomesha private miaka minne sasa,lakini mama yake anajifanya kutoelewa chochote
Sasa kitega uchumi namna Gani wakati mtoto anahitaji matunzo au ulivyoweka mbegu ulidhani itaota nyasiWewe ni single mother mwingine....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nawahesabu tu. Nyie huwa mnataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi... Baba yake anataka akae naye amtunze mwenyewe. Si umwachie. Ukikaa naye usidai pesa ya matumizi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnajuana nyieUnaangaika🙄
Unalia lia nini... NENDA KACHUKUE MTOTO KWA NGUVU... ALAFU MTU AKUFUATE...Nmeshatoa muda na bahati mbaya wazazi wa mwanamke wanamuunga mkono mtoto wao.
Mie binafsi kumuacha mtoto nafsi inakataa kabsa na pia kadiri anavyoendelea kuwepo kule anamezeshwa sumu na mbaya zaidi mtoto anakaa na wazazi wa mamake na c yeye mwenyew kama hawezi kukaa nae kwann hataki kumuachia????
Simjui ila amwache mtoto alelewe na mama yakeMnajuana nyie
NENDA KAMCHUKUE KWA NGUVU... HUWEZI NENDA USTAWI WA JAMII...
KINGINE ACHENI KUTANGULIZA SHAHAWA ZENU MNAPOCHAGUA WANAWAKE...
MTUMEﷺ ALIPOSEMA ZINGATIENI DINI... ALIMAANISHA... NYIE MNAANGALIA UZURI NA MAMBO MENGINE... MNAOA MAJANAMKE YANA ROHO KAMA SHAYTWAN PAMOJA NA FAMILIA YAO...
KOSA LAKO TOKA MWANZO KWENYE KUMCHAGULIA MTOTO MAMA BORA...
NENDA USTAWI HARAKA... ELEZEA SHIDA YAKO... UTAPEWA BARUA WATAITWA USTAWI... MTAYAWEKA... IKIWEZEKANA TEMBEZA HATA RUSHWA...NA WAO WAPIGWE MARUFUKU KUKAA NA MTOTO... HAO HAWANA NIA NJEMA NA MTOTO... ILA WANA SHARI TU... NA USISHANGAE MTOTO MWENYEWE ANATESEKA...
Mtaji kivipi?
Ukiwa na mtoto kwa mama yake mlipie fees nenda shuleni kalipe, mkatie bima ya afya, siku akija kwako mfanyie shopping. Mama yake usimpe chochote.
🤣🤣🤣Hujakosea mkuuNdo ushauri wako huu? Wewe utakuwa single mother. Piga ua. Kataa ukataavyo. Huu mwandiko na Makasiriko wewe ni single mother.
🤣🤣🤣AiseeNimesisimka kwa busu lako.
Yes atakuja mwenyewe.ajitahidi tu kuwa karibuHamna maelewano mazuri hadi utumie sheria?
Ukute unafanya tu hivyo ili kumkomoa mama mtoto, mwache mtoto aendelee kukua...jenga nae ukaribu kwanza.