Nahitaji kumchukua mtoto wangu

Nahitaji kumchukua mtoto wangu

Mkuu nakuelewa maumivu yako,we livalie njuga hilo suala pambana nalo mpaka mwisho..japo jua tu kuwa haitakuwa rahisi.Ukilipotezea litakuja kukuumiza zaidi mbele.
 
Wakuu nina mwanangu ambaye nilizaa na mke wa kwanza ambaye tumeachana miaka sita iliyopita.

Na hivi sasa mtoto ameshafikisha umri wa miaka 8,nahitaji kumchukua mwanangu nikae nae,naomba msaada wa kisheria tafadhal.
Muache mtoto akae kwa mama ake.
Na kama unaumia sana kumuona yupo na mama ake basi muoe mama ake ukishindwa hivo muhudumie mtoto vzuri bila shida wala lawama
 
Mtaji kivipi?
Ukiwa na mtoto kwa mama yake mlipie fees nenda shuleni kalipe, mkatie bima ya afya, siku akija kwako mfanyie shopping. Mama yake usimpe chochote.
Mama yake anataka pesa ya matumizi nyumbani.
 
Ndugu cjawahi kuwa na mahusiano na mwanamke jeuri kama huyo,mtoto nimekuwa nikimsomesha private miaka minne sasa,lakini mama yake anajifanya kutoelewa chochote
Acheni makasiriko kama kweli mmeachana. Hayo mavutano yenu ni kwaajili yenu hata hayamnufaishi mtoto.
Tatizo una haraka sijui ya nini...mtoto akifikisha miaka 13 hadi 15 utaona tu anakuja, mama atalegeza.
Acheni kukomoana.
 
Wewe ni single mother mwingine....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nawahesabu tu. Nyie huwa mnataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi... Baba yake anataka akae naye amtunze mwenyewe. Si umwachie. Ukikaa naye usidai pesa ya matumizi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kitega uchumi namna Gani wakati mtoto anahitaji matunzo au ulivyoweka mbegu ulidhani itaota nyasi
 
Nmeshatoa muda na bahati mbaya wazazi wa mwanamke wanamuunga mkono mtoto wao.
Mie binafsi kumuacha mtoto nafsi inakataa kabsa na pia kadiri anavyoendelea kuwepo kule anamezeshwa sumu na mbaya zaidi mtoto anakaa na wazazi wa mamake na c yeye mwenyew kama hawezi kukaa nae kwann hataki kumuachia????
Unalia lia nini... NENDA KACHUKUE MTOTO KWA NGUVU... ALAFU MTU AKUFUATE...
 
Una uhakika mtoto ni wako mbona wanaume tunakuwa mabwege sana siku hzi.
 
NENDA KAMCHUKUE KWA NGUVU... HUWEZI NENDA USTAWI WA JAMII...

KINGINE ACHENI KUTANGULIZA SHAHAWA ZENU MNAPOCHAGUA WANAWAKE...

MTUMEﷺ ALIPOSEMA ZINGATIENI DINI... ALIMAANISHA... NYIE MNAANGALIA UZURI NA MAMBO MENGINE... MNAOA MAJANAMKE YANA ROHO KAMA SHAYTWAN PAMOJA NA FAMILIA YAO...

KOSA LAKO TOKA MWANZO KWENYE KUMCHAGULIA MTOTO MAMA BORA...

NENDA USTAWI HARAKA... ELEZEA SHIDA YAKO... UTAPEWA BARUA WATAITWA USTAWI... MTAYAWEKA... IKIWEZEKANA TEMBEZA HATA RUSHWA...NA WAO WAPIGWE MARUFUKU KUKAA NA MTOTO... HAO HAWANA NIA NJEMA NA MTOTO... ILA WANA SHARI TU... NA USISHANGAE MTOTO MWENYEWE ANATESEKA...
 
Mimi ni shemeji mtu unataka umchukue mtoto unategemea pesa ya kula mwisho wa mwezi tutapata wapi?
Tunasema hivi mtoto haumpati
 
Abuu Maryam ahsante
NENDA KAMCHUKUE KWA NGUVU... HUWEZI NENDA USTAWI WA JAMII...

KINGINE ACHENI KUTANGULIZA SHAHAWA ZENU MNAPOCHAGUA WANAWAKE...

MTUMEﷺ ALIPOSEMA ZINGATIENI DINI... ALIMAANISHA... NYIE MNAANGALIA UZURI NA MAMBO MENGINE... MNAOA MAJANAMKE YANA ROHO KAMA SHAYTWAN PAMOJA NA FAMILIA YAO...

KOSA LAKO TOKA MWANZO KWENYE KUMCHAGULIA MTOTO MAMA BORA...

NENDA USTAWI HARAKA... ELEZEA SHIDA YAKO... UTAPEWA BARUA WATAITWA USTAWI... MTAYAWEKA... IKIWEZEKANA TEMBEZA HATA RUSHWA...NA WAO WAPIGWE MARUFUKU KUKAA NA MTOTO... HAO HAWANA NIA NJEMA NA MTOTO... ILA WANA SHARI TU... NA USISHANGAE MTOTO MWENYEWE ANATESEKA...
 
Pole sana kama unamsomesha mtoto na hataki umchukue hata wakati wa likizo Hilo ni tatzo nenda ustawi wa jamii au labda ameona una nia sana ya kuchukua mtoto ameona akikupa wakati wa likizo unaweza usimrudishe tena wababa wengi wanachukua watoto kwa style hiyo
 
Changamoto iliyopo mtoto yupo mbali sana nami
Mtaji kivipi?
Ukiwa na mtoto kwa mama yake mlipie fees nenda shuleni kalipe, mkatie bima ya afya, siku akija kwako mfanyie shopping. Mama yake usimpe chochote.
 
Hamna maelewano mazuri hadi utumie sheria?
Ukute unafanya tu hivyo ili kumkomoa mama mtoto, mwache mtoto aendelee kukua...jenga nae ukaribu kwanza.
Yes atakuja mwenyewe.ajitahidi tu kuwa karibu
 
Back
Top Bottom