Nahitaji kumchukua mtoto wangu

Nahitaji kumchukua mtoto wangu

Sawa mtoto ni wetu lakini kwann niwekewe vikwazo hata vya kumchukua mtoto wakat wa likizo?

Mbna shule namlipia ada hilo nalo hawalitambui?

Mtoto wako au wenu?Umchukue umpeleke wapi?Kwanza ulitoa mahari kwa mama wa mtoto?Mtunze akiwa kwa mama yake.
 
Mtoto wako au wenu?Umchukue umpeleke wapi?Kwanza ulitoa mahari kwa mama wa mtoto?Mtunze akiwa kwa mama yake.
Amchukue ampleke nyumban kwao mm wangu nilimchukua nilimpeleka kwa bibi yake likizo tu anaenda kusalimia mamake koz ashaolewa hko.
 
Nmeshatoa muda na bahati mbaya wazazi wa mwanamke wanamuunga mkono mtoto wao.
Mie binafsi kumuacha mtoto nafsi inakataa kabsa na pia kadiri anavyoendelea kuwepo kule anamezeshwa sumu na mbaya zaidi mtoto anakaa na wazazi wa mamake na c yeye mwenyew kama hawezi kukaa nae kwann hataki kumuachia????
Hapo pazito sawa mkuu endelea.

Ila nyie wote bado mnahasira, why sasa? Bado.mnapendana?

Kama mlishaachana hasira za nini? Mleeni mtoto kwa kushirikiana.
 
Mkuu mshana we acha tu,kila nikitaka kuachana nalo nafsi yangu inasita japo nina kijana mwingine.
Mie naona hakuna namna isipokuwa kwenda katika vyombo vya sheria ingawa ckutaka kabsa kufikia huko
Ugomvi wa wazazi mtoto/watoto hawahusiki.. Kila mzazi ana haki ya kumuona/kuwaona watoto kwa mujibu wa sheria za haki za binadamu na haki za mtoto
 
Ndugu cjawahi kuwa na mahusiano na mwanamke jeuri kama huyo,mtoto nimekuwa nikimsomesha private miaka minne sasa,lakini mama yake anajifanya kutoelewa chochote

Pole sana

Mwanamke mjeuri
Mama mtoto mjeuri
Mtoto.......

Mungu akusaidie
 
Ndugu cjawahi kuwa na mahusiano na mwanamke jeuri kama huyo,mtoto nimekuwa nikimsomesha private miaka minne sasa,lakini mama yake anajifanya kutoelewa chochote
Atakuja kuelewa baadae. Usiache kumsomesha
 
Wakuu nina mwanangu ambaye nilizaa na mke wa kwanza ambaye tumeachana miaka sita iliyopita.

Na hivi sasa mtoto ameshafikisha umri wa miaka 8,nahitaji kumchukua mwanangu nikae nae,naomba msaada wa kisheria tafadhal.
Anza kuwa karibu na mtoto, muoneshe upendo mtoto tena uwe extra, usitume kitu Cha mtoto kwa mama kabla haujaongea na mtoto, na uwe unamwambia vitu ulivyotuma.

Sometimes mpe nafasi aseme anavyotaka mwenyewe (mtoto).

Usiache kumpa zawadi anapofanya vizuri darasani, pia usiache kumkemea anavyokosea hata kama kwa simu, ata feel upendo wako, soon ataanza kuhitaji kuwa nawe. Inakuwa rahisi sana pressure ya kuja kwako ikianza kwa mtoto mwenyewe.


Nimeongea kutokana na experience.
 
Mama D,ahsante japo cjapoa unajua wanawake hulaumu sana wanaume lakin jaman wapo baadhi ya wanawake mhhh
Pole sana

Mwanamke mjeuri
Mama mtoto mjeuri
Mtoto.......

Mungu akusaidie
 
Mtoto wako au wenu?Umchukue umpeleke wapi?Kwanza ulitoa mahari kwa mama wa mtoto?Mtunze akiwa kwa mama yake.
Wewe ni single mother mwingine....🤣🤣🤣🤣 Nawahesabu tu. Nyie huwa mnataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi... Baba yake anataka akae naye amtunze mwenyewe. Si umwachie. Ukikaa naye usidai pesa ya matumizi...🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tatizo mtoto anakaa na wazazi wa mwanamke na mara kadhaa nikitaka kuongea nae wanasema mara hayupo mpaka kuna siku niliongea nae akasema baba mie hata ckujui nikamuuliza nani kakwambia hayo akasema kaniambia Mama.

Kwa kweli nilijickia vbaya sana.

Anza kuwa karibu na mtoto, muoneshe upendo mtoto tena uwe extra, usitume kitu Cha mtoto kwa mama kabla haujaongea na mtoto, na uwe unamwambia vitu ulivyotuma
 
Wewe ni single mother mwingine....🤣🤣🤣🤣 Nawahesabu tu. Nyie huwa mnataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi... Baba yake anataka akae naye amtunze mwenyewe. Si umwachie. Ukikaa naye usidai pesa ya matumizi...🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi ni baba yako ngedere weye.Unamwaga mbegu hovyo hujui kuoa?
 
Hamna maelewano mazuri hadi utumie sheria?
Ukute unafanya tu hivyo ili kumkomoa mama mtoto, mwache mtoto aendelee kukua...jenga nae ukaribu kwanza.
Usikute alikua hahudumii pia
 
Mama D,ahsante japo cjapoa unajua wanawake hulaumu sana wanaume lakin jaman wapo baadhi ya wanawake mhhh

Ukitaka amani wacha akae na mtoto wake maana sio rahisi kumtenganisha na mwanae.
Wewe lipa Ada, tunza mtoto wako kwa upendo akikua miaka 13, 14, 15 atalazimisha kukufuata kwa miguu yake

Usiposhindana na mama mtoto wako Utashinda kirahisi zaidi
 
Tatizo mtoto anakaa na wazazi wa mwanamke na mara kadhaa nikitaka kuongea nae wanasema mara hayupo mpaka kuna cku niliongea nae akasema baba mie hata ckujui nikamuuliza nani kakwambia hayo akasema kaniambia Mama.
Kwa kweli nilijickia vbaya sana
Hadi kufikia hapo inaonesha una matatizo.Unakuja kujiliza JF wakati hutaki kuzikubali changamoto zako.Kaa chini utulie na kujiuliza wapi unakwama?Tatizo unataka kutuaminisha mama wa mtoto ndiye mkorofi.
 
Back
Top Bottom