Nahitaji kumfungulia mashtaka Makonda

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
505
Reaction score
376
Wanasheria mlioko humu naombeni msaada

Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid

Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo

Na pia kumdharirisha hadharani kuwa ni fisadi bila kuwa na ushahidi!

Wanasheria msaada wenu nauhitaji pm ili nijue hatua nazotakiwa kufata na sheria italavyonilinda

Ahsanteni
 
Uwamuzi mzuri
 
Kwa kifupi soma section 9 yote katika sheria hii: THE LAW REFORM (FATAL ACCIDENTS AND MISCELLANEOUS PROVISIONS) ACT. Unaweza pata majibu hapo kama wewe ni msomi! Good luck!
 
Anza kuwashtaki tundu lisu. Lema..Msigwa kwa kumtukana Lowasa ni fisadi kwa miaka nane
Wewe unatoka Bukoba sehemu gani mbona hueleweki kama nshomile wenzako! Next time nitakutukana enzala bantu!
 
Kabwe alikanusha. Unajuaje labda Makonda alionyeshwa kitu fake! Vyote vinawezekana!
Mimi naamini kuwa makonda alijilidhisha vya kutosha kabla hajaamua kulitangaza lile swala. Harafu ingekuwa ngumu kwa kabwe kukili hilo kosa
 
Mtafute Tundu Lissu yeye ndiye wakili wa majipu.
 
Hii generation ya kuning'inia na sukari ni shida sana. Na ndio maana ni rare kwa wenzetu waliofikia maendeleo kuona vijana wanamaliza masomo wanakimbilia siasa iwe ajira. Short cut ya kimaisha.
Sasa hata kama ni defamation of character, mahakama itaangalia wewe umepata athari gani? Sasa wewe umeathirika vipi na Kabwe!. Au ni mkewe?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji83] [emoji83]
 
Anza kuwashtaki tundu lisu. Lema..Msigwa kwa kumtukana Lowasa ni fisadi kwa miaka nane

Hapa tunamjadili kabwe na makonda Hao wengine wameingiaje . Yan bila kumtaja lowasa naona Huwez Kula kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…