mgombea uvccm2017
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 505
- 376
- Thread starter
- #21
Huo ndo ujinga wa siku hizi wa wana CCM wenzangu! Wamekosa hoja na kubaki kutukanaHapa tunamjadili kabwe na makonda Hao wengine wameingiaje . Yan bila kumtaja lowasa naona Huwez Kula kabisa.