Nahitaji kumfungulia mashtaka Makonda

Nahitaji kumfungulia mashtaka Makonda

Wanasheria mlioko humu naombeni msaada

Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid

Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo

Na pia kumdharirisha hadharani kuwa ni fisadi bila kuwa na ushahidi!

Wanasheria msaada wenu nauhitaji pm ili nijue hatua nazotakiwa kufata na sheria italavyonilinda

Ahsanteni
mrija wako wa pesa umezibwa tengeneza mwingine ndg yangu
 
Wanasheria mlioko humu naombeni msaada

Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid

Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo

Na pia kumdharirisha hadharani kuwa ni fisadi bila kuwa na ushahidi!

Wanasheria msaada wenu nauhitaji pm ili nijue hatua nazotakiwa kufata na sheria italavyonilinda

Ahsanteni
Mkuu unaushahidi kwamba RC hana ushahidi? Na je,unauhakika na ushahidi uloupata kuwa Kabwe hakuwa fisadi ni kweli? Kumbuka RC aliunda kamati na ndo iliyoibua hayo yote. Ushauri kwenye sheria huwa hatukurupuki,kuwa makini.
 
Huyo dogo ana kiherehere sana! Siku zake zaheesabika!! Tunamhesabia
 
Kwahiyo wewe unadhani kwamba RC aibue tuhuma hizo publicly kiasi kile (tena mbele ya Rais) na asiwe na 'watertight evidence' ya ku-back up allegations hizo??
Kama unadhania hivyo, basi you should retry to double-click your folder of thinking.

Vijana tuacheni hii mihemko ya kisiasa isiyokuwa na tija. Komaa kutafuta ugali wako na wanao, mambo mengine yanayokuzidi achana nayo mkuu. Usivamie msitu kwa kiwembe!

-Kaveli-
 
Wanasheria mlioko humu naombeni msaada

Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid

Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo

Na pia kumdharirisha hadharani kuwa ni fisadi bila kuwa na ushahidi!

Wanasheria msaada wenu nauhitaji pm ili nijue hatua nazotakiwa kufata na sheria italavyonilinda

Ahsanteni

Ni ushahid au " ushahidi ".
Ni Kifisaidi au " kifisadi ".
Ni nazotakiwa au " ninazotakiwa ".
Ni kufata au " kufuata "
Ni kumdharirisha au " kumdhalilisha "

Kwa ninavyowajua Wanasheria walivyo Watu makini kwa UPOPOMA huu sidhani hata atajitokeza mmoja wapo kukusaidia. Halafu siku nyingine ni vyema sana ukaangalia na ID unayoichagua ili uendane nayo. Kitendo cha kujiita kwa ID ya MGOMBEA UVCCM 2017 halafu hujui hata Kuandika tu Kiswahili SANIFU ni KUTUTUKANA wana CCM wote ( Mimi NIKIWEPO ). CCM hatuna Mtu POPOMA wa dizaini yako asiyejua hata Kiswahili vizuri na ni vyema ukaangalia UTARATIBU wa haraka na mapema wa kurudi kwenu huko Malawi au Ndola. Ukome siku nyingine kutumia Jina la Chama Tawala kuonyesha mapungufu yako! Umeshaniharibia sasa hadi na Ibada yangu ya leo.
 
  • Thanks
Reactions: F9T

Acha kuropoka kuibuwa tuhuma haimaanishi ushahid ulionao ni wa kweli! wapo watu kibao waliibua tuhuma na kudai wana ushahid ila mwisho wa siku wamekosa cha kuongea
 
Nashangaa siku hizi wana CCM tuna vijana wasiojitambua kama wewe mliojaa kwenye mitandao ya kijamii badala ya kujibu hoja mnabaki kurukaruka sijui tutafika? Hamia kwa wazungusha mikono ndiyo wenye tabia za kishoga kama zako
 
Funny thing kuna watu wanaombea yule dogo alishindwe jiji,wakati mafanikio yake katika kulisimamia ni faida kwa kila mtz....siasa kitu cha ajabu sana.
 
Utendakazi wake hausababishi asifunguliwe mashtaka pale anapokosea! Atende kwa haki tu wala hakuna mwenye tatizo naye
 
Acha kuropoka kuibuwa tuhuma haimaanishi ushahid ulionao ni wa kweli! wapo watu kibao waliibua tuhuma na kudai wana ushahid ila mwisho wa siku wamekosa cha kuongea

Mkuu, pia wapo watu kibao tu waliibua tuhuma na zikadhibitika with evidence kuwa za kweli .

Mostly important: Nini kinachokufanya 'uamini' kuwa RC hana USHAHIDI kwenye tuhuma hizo? Ama 'unahisia' tu kuwa RC hana ushahidi ?

Ni kwa sababu nina ushahid pia kuwa Kabwe hahusiki
 
Mimi nakushauri. Utabanduliwa kucha bure. Umesikia siku hizi watu wanasema,'jicho kwa jicho,jino kwa kwa jino' halafu wanalipiza kisasi ingawa hawajapoteza jicho wala jino.
Wanasheria mlioko humu naombeni msaada

Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid

Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo

Na pia kumdharirisha hadharani kuwa ni fisadi bila kuwa na ushahidi!

Wanasheria msaada wenu nauhitaji pm ili nijue hatua nazotakiwa kufata na sheria italavyonilinda

Ahsanteni
 
Mimi nakushauri. Utabanduliwa kucha bure. Umesikia siku hizi watu wanasema,'jicho kwa jicho,jino kwa kwa jino' halafu wanalipiza kisasi ingawa hawajapoteza jicho wala jino.
Wanasheria mlioko humu naombeni msaada

Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid

Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo

Na pia kumdharirisha hadharani kuwa ni fisadi bila kuwa na ushahidi!

Wanasheria msaada wenu nauhitaji pm ili nijue hatua nazotakiwa kufata na sheria italavyonilinda

Ahsanteni
 
Funny thing kuna watu wanaombea yule dogo alishindwe jiji,wakati mafanikio yake katika kulisimamia ni faida kwa kila mtz....siasa kitu cha ajabu sana.

Mkuu umenena kitu cha msingi sana. Na mara nyingi huwa nasema sana humu kwamba: Among other factors, to politicize every issue ni barrier kubwa sana inayotukwamisha watanzania kwenye maendeleo ya Taifa.

-Kaveli-
 
Unataka ushahidi muulize wenje anajua, asitajwe hadharani kwani hiyo kazi alipewa na mkewe chumbani?? Mnakwenda na matukio yaa sukari imeishia wapi?
Mkuu umeniwah bas nabadili mawazo aanze kumstak wenje aliemsema hadhar bungen alafu kumshitak wenje ni rahis unamshitak hata mahakama ya mwanzo ila makonda mpaka mahakama kuu kwa kuwa unaishtak serkar it was not person
 
Back
Top Bottom