mgombea uvccm2017
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 505
- 376
- Thread starter
-
- #21
Huo ndo ujinga wa siku hizi wa wana CCM wenzangu! Wamekosa hoja na kubaki kutukanaHapa tunamjadili kabwe na makonda Hao wengine wameingiaje . Yan bila kumtaja lowasa naona Huwez Kula kabisa.
mrija wako wa pesa umezibwa tengeneza mwingine ndg yanguWanasheria mlioko humu naombeni msaada
Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid
Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo
Na pia kumdharirisha hadharani kuwa ni fisadi bila kuwa na ushahidi!
Wanasheria msaada wenu nauhitaji pm ili nijue hatua nazotakiwa kufata na sheria italavyonilinda
Ahsanteni
Wewe ni mkongo?Wilson kabwe ndio nani kwanza ....???????
Mkuu unaushahidi kwamba RC hana ushahidi? Na je,unauhakika na ushahidi uloupata kuwa Kabwe hakuwa fisadi ni kweli? Kumbuka RC aliunda kamati na ndo iliyoibua hayo yote. Ushauri kwenye sheria huwa hatukurupuki,kuwa makini.Wanasheria mlioko humu naombeni msaada
Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid
Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo
Na pia kumdharirisha hadharani kuwa ni fisadi bila kuwa na ushahidi!
Wanasheria msaada wenu nauhitaji pm ili nijue hatua nazotakiwa kufata na sheria italavyonilinda
Ahsanteni
Katafute haki mkuu..... RIP Kabwe...Ninao
Karibuni sana
Wanasheria mlioko humu naombeni msaada
Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid
Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo
Na pia kumdharirisha hadharani kuwa ni fisadi bila kuwa na ushahidi!
Wanasheria msaada wenu nauhitaji pm ili nijue hatua nazotakiwa kufata na sheria italavyonilinda
Ahsanteni
Acha kuropoka kuibuwa tuhuma haimaanishi ushahid ulionao ni wa kweli! wapo watu kibao waliibua tuhuma na kudai wana ushahid ila mwisho wa siku wamekosa cha kuongeaKwahiyo wewe unadhani kwamba RC aibue tuhuma hizo publicly kiasi kile (tena mbele ya Rais) na asiwe na 'watertight evidence' ya ku-back up allegations hizo??
Kama unadhania hivyo, basi you should retry to double-click your folder of thinking.
Vijana tuacheni hii mihemko ya kisiasa isiyokuwa na tija. Komaa kutafuta ugali wako na wanao, mambo mengine yanayokuzidi achana nayo mkuu. Usivamie msitu kwa kiwembe!
-Kaveli-
Nashangaa siku hizi wana CCM tuna vijana wasiojitambua kama wewe mliojaa kwenye mitandao ya kijamii badala ya kujibu hoja mnabaki kurukaruka sijui tutafika? Hamia kwa wazungusha mikono ndiyo wenye tabia za kishoga kama zakoNi ushahid au " ushahidi ".
Ni Kifisaidi au " kifisadi ".
Ni nazotakiwa au " ninazotakiwa ".
Ni kufata au " kufuata "
Ni kumdharirisha au " kumdhalilisha "
Kwa ninavyowajua Wanasheria walivyo Watu makini kwa UPOPOMA huu sidhani hata atajitokeza mmoja wapo kukusaidia. Halafu siku nyingine ni vyema sana ukaangalia na ID unayoichagua ili uendane nayo. Kitendo cha kujiita kwa ID ya MGOMBEA UVCCM 2017 halafu hujui hata Kuandika tu Kiswahili SANIFU ni KUTUTUKANA wana CCM wote ( Mimi NIKIWEPO ). CCM hatuna Mtu POPOMA wa dizaini yako asiyejua hata Kiswahili vizuri na ni vyema ukaangalia UTARATIBU wa haraka na mapema wa kurudi kwenu huko Malawi au Ndola. Ukome siku nyingine kutumia Jina la Chama Tawala kuonyesha mapungufu yako! Umeshaniharibia sasa hadi na Ibada yangu ya leo.
Utendakazi wake hausababishi asifunguliwe mashtaka pale anapokosea! Atende kwa haki tu wala hakuna mwenye tatizo nayeFunny thing kuna watu wanaombea yule dogo alishindwe jiji,wakati mafanikio yake katika kulisimamia ni faida kwa kila mtz....siasa kitu cha ajabu sana.
Acha kuropoka kuibuwa tuhuma haimaanishi ushahid ulionao ni wa kweli! wapo watu kibao waliibua tuhuma na kudai wana ushahid ila mwisho wa siku wamekosa cha kuongea
Ni kwa sababu nina ushahid pia kuwa Kabwe hahusikiMkuu, pia wapo watu kibao tu waliibua tuhuma na zikadhibitika with evidence kuwa za kweli .
Mostly important: Nini kinachokufanya 'uamini' kuwa RC hana USHAHIDI kwenye tuhuma hizo? Ama 'unahisia' tu kuwa RC hana ushahidi ?
-Kaveli-
Wanasheria mlioko humu naombeni msaada
Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid
Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo
Na pia kumdharirisha hadharani kuwa ni fisadi bila kuwa na ushahidi!
Wanasheria msaada wenu nauhitaji pm ili nijue hatua nazotakiwa kufata na sheria italavyonilinda
Ahsanteni
Wanasheria mlioko humu naombeni msaada
Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid
Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo
Na pia kumdharirisha hadharani kuwa ni fisadi bila kuwa na ushahidi!
Wanasheria msaada wenu nauhitaji pm ili nijue hatua nazotakiwa kufata na sheria italavyonilinda
Ahsanteni
Funny thing kuna watu wanaombea yule dogo alishindwe jiji,wakati mafanikio yake katika kulisimamia ni faida kwa kila mtz....siasa kitu cha ajabu sana.
Mkuu umeniwah bas nabadili mawazo aanze kumstak wenje aliemsema hadhar bungen alafu kumshitak wenje ni rahis unamshitak hata mahakama ya mwanzo ila makonda mpaka mahakama kuu kwa kuwa unaishtak serkar it was not personUnataka ushahidi muulize wenje anajua, asitajwe hadharani kwani hiyo kazi alipewa na mkewe chumbani?? Mnakwenda na matukio yaa sukari imeishia wapi?