Ni kwa sababu nina ushahid pia kuwa Kabwe hahusiki
Kabwe alikanusha anywayMimi naamini kuwa makonda alijilidhisha vya kutosha kabla hajaamua kulitangaza lile swala. Harafu ingekuwa ngumu kwa kabwe kukili hilo kosa
Unataka ushahidi upi?Karibuni sana
Una uhakika?Unataka ushahidi upi?
Kuna mikataba miwili
Wa kwanza mkandarasi alitakiwa alipe milioni 40 kwa mwezi
Baada baraza la madiwani likapandisha viwango,mzabuni akatakiwa alipe milioni 80 kwa mwezi na nkataba ulisainiwa
Kilichogundulika,ambacho hata kabwe alishindwa kutoa majibu ni kuwa,mzabuni alikua analipa kwa mkataba wa pili,milioni 80 kwa mwezi,lakini jiji linapokea kwa kutumia mkataba wa zamani yaani milioni 40 kwa mwezi
Labda kama makonda kachukua bibi yako lakini kwa hili yupo safi,kwanza si yeye ni tume maalum ndio ilitoa ripoti hiyo
Kabwe alikanusha anyway
Uko sahihi! Mahakama then itatoa uhakika! Huwezi amini Tuhuma, they should be put to test, likewise, huwezi amini kukanusha until put to testKwahiyo ulitegemea KABWE akiri kwamba ''ooh watanzania wenzagu, ni kweli kabsa nilipiga huo mpunga'' eeh?
BTW... kwanini unaamini haraka 'kukanusha' kwake na hauamini tuhuma husika?
au tatizo ni 'muibua tuhuma' ?
-Kaveli-
Uko sahihi! Mahakama then itatoa uhakika! Huwezi amini Tuhuma, they should be put to test, likewise, huwezi amini kukanusha until put to test
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38]Hii generation ya kuning'inia na sukari ni shida sana. Na ndio maana ni rare kwa wenzetu waliofikia maendeleo kuona vijana wanamaliza masomo wanakimbilia siasa iwe ajira. Short cut ya kimaisha.
Sasa hata kama ni defamation of character, mahakama itaangalia wewe umepata athari gani? Sasa wewe umeathirika vipi na Kabwe!. Au ni mkewe?
Nashangaa siku hizi wana CCM tuna vijana wasiojitambua kama wewe mliojaa kwenye mitandao ya kijamii badala ya kujibu hoja mnabaki kurukaruka sijui tutafika? Hamia kwa wazungusha mikono ndiyo wenye tabia za kishoga kama zako
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwahiyo wakiitwa wenye akili utasimama? Taahira kabisa! Uwe unapitia post zako mara mbili ujione ulivyo pumba kabisa!Kuandika tu HUJUI utaweza kushindana na UWEZO wangu wa AKILI niliojaaliwa nayo na MAULANA? Ukweli ni kwamba CCM hatuna WAPUMBAVU wa aina yako period.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwahiyo wakiitwa wenye akili utasimama? Taahira kabisa! Uwe unapitia post zako mara mbili ujione ulivyo pumba kabisa!
amahoro kayumba,aisee hadi nimetetemekaNingekuwa PUMBA nisingetengeneza MIKAKATI kadhaa iliyomwezesha aliyepo sasa kuwa hapo ALIPO. You're such a pathetic dull on earth. Watafute Wana UVCCM wenzako hasa wale WAKUU wako WANANIJUA fika na WANAIJUA hii ID. Na laiti kama ungejua kuwa kuwepo Kwangu humu nako ni MKAKATI usingepayuka hivyo. Nenda KAJIFUNZE vizuri SIASA kwani huzijui na hutazijua. Wewe kuwemo UVCCM ndiyo umeona UMEMALIZA? Nimeanza kuijua CCM tokea enzi zake Hayati Babu yangu Mwalimu Nyerere na hizi ID zisikudanganye na huna UNACHOKIJUA. Wenzako sasa tunawaza KUKIJENGA chama Wewe unaleta UPUUZI wako eti unataka KUMSHITAKI Makonda. Na mwaka 2017 hakutakuwa na Uchaguzi tunasogeza mbele sijui utagombea na MATAHAIRA wenzako au? Naona unataka LIGI na Mimi na sasa nipo KAMILI gado na naweza kuwemo humu 24 hrs bila kuchoka halafu AKAUNTI yangu inajaa tu sasa sijui KAPUKU Wewe kama ukikaa humu zaidi ya nusu saa tu ijayo utaingiza income yoyote.
Hayo maneno tu hata kwenye kanga yapo! Ungekuwa unajitambua michango yako ingeonekana yenye akili humu kuliko pumba unazoziandikaga humu! Acha kutuharibia taswira ya chama kwa upuuzi wakoNingekuwa PUMBA nisingetengeneza MIKAKATI kadhaa iliyomwezesha aliyepo sasa kuwa hapo ALIPO. You're such a pathetic dull on earth. Watafute Wana UVCCM wenzako hasa wale WAKUU wako WANANIJUA fika na WANAIJUA hii ID. Na laiti kama ungejua kuwa kuwepo Kwangu humu nako ni MKAKATI usingepayuka hivyo. Nenda KAJIFUNZE vizuri SIASA kwani huzijui na hutazijua. Wewe kuwemo UVCCM ndiyo umeona UMEMALIZA? Nimeanza kuijua CCM tokea enzi zake Hayati Babu yangu Mwalimu Nyerere na hizi ID zisikudanganye na huna UNACHOKIJUA. Wenzako sasa tunawaza KUKIJENGA chama Wewe unaleta UPUUZI wako eti unataka KUMSHITAKI Makonda. Na mwaka 2017 hakutakuwa na Uchaguzi tunasogeza mbele sijui utagombea na MATAHAIRA wenzako au? Naona unataka LIGI na Mimi na sasa nipo KAMILI gado na naweza kuwemo humu 24 hrs bila kuchoka halafu AKAUNTI yangu inajaa tu sasa sijui KAPUKU Wewe kama ukikaa humu zaidi ya nusu saa tu ijayo utaingiza income yoyote.
Hayo maneno tu hata kwenye kanga yapo! Ungekuwa unajitambua michango yako ingeonekana yenye akili humu kuliko pumba unazoziandikaga humu! Acha kutuharibia taswira ya chama kwa upuuzi wako