Tajiri Kalewa
Member
- Jun 4, 2017
- 50
- 94
Vipi mkuu kwani keshaolewa?Unasafiria nyota vya Dr shika ya kujitoa akili sio!?
Vpi mkuu kwani keshaolewa? Isije tukashindwa kutoa ofa ya ndoa ikawa tunamnyima nafasi nyeti ya mahusiano kwa kudhani tayari ana mtu kumbe nae anasubiri huyo mtu ajitokezeWe ni sizonje nn? Maana ndio ulikuwa mpango wake
Weka picha yake.
HahahahahhahaAlbadili inazidi kutafuna watu
hahahahahahaBabe Kabae popote ulipo kama unasoma ujumbe huu na endapo bado upo single naomba uni-PM nahitaji tuongee uwezekano wa mimi kukuoa kama hautojali.
Nimepiga sana hapo kipindi tuko chuo
Weka picha yake.
Pc ya yake please
Jamaa kashindwa himili. Mpeni no apambane Naye nafasi yake Italië kwa majibu yoyote atakayopewa. Sio shida.Mweshimuni mdada wa watu hana makuu,mwandishi mzur snaa wa habar nadhani ukimuondoa kipanya anae fata ni yy