Nahitaji kumuoa Babe Kabae wa Clouds Tv kwma bado yupo single

Nahitaji kumuoa Babe Kabae wa Clouds Tv kwma bado yupo single

Tajiri Kalewa

Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
50
Reaction score
94
Babe Kabae popote ulipo kama unasoma ujumbe huu na endapo bado upo single naomba uni-PM nahitaji tuongee uwezekano wa mimi kukuoa kama hautojali.
 
We ni sizonje nn? Maana ndio ulikuwa mpango wake
Vpi mkuu kwani keshaolewa? Isije tukashindwa kutoa ofa ya ndoa ikawa tunamnyima nafasi nyeti ya mahusiano kwa kudhani tayari ana mtu kumbe nae anasubiri huyo mtu ajitokeze
 
Hao Wanawake wote Mtaani hauwaoni hadi utake kuoa Mke wa Mtu? Au ndo unataka uonewe huruma za Udomo Zege?
 
Weka picha yake.
22.jpg
 
Mweshimuni mdada wa watu hana makuu,mwandishi mzur snaa wa habar nadhani ukimuondoa kipanya anae fata ni yy
 
Mweshimuni mdada wa watu hana makuu,mwandishi mzur snaa wa habar nadhani ukimuondoa kipanya anae fata ni yy
Jamaa kashindwa himili. Mpeni no apambane Naye nafasi yake Italië kwa majibu yoyote atakayopewa. Sio shida.
 
Back
Top Bottom