iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
No stress
Kubweteka
Kula parachichi,mtindi na meats zenye mafuta
Bia
🤣🤣🤣😜Ushauri mzur, ila kwenye stress hapazuiliki [emoji41]
Kula matunda kwa wingi hasa parachichi, mboga mboga za majani, samaki kwa wingi ila nyama na wanga kiasi( isiwe sana), japo mimi sio mtumiaji ila kuna kitoweo flani hivi ningeshauri ila isivyo bahati kwa wengi ni haramu. hivyo tubakie humu humu tu
Ila nimeshangaa,kwani unene ndio muonekano mzuri wa afya?
Ukitaka kunenepa uwe na hela kula Milo mingi kwa siku
Kula wanga sana kuliko chakula kingine chochote.Habarini wana JF,
Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?
Nahitaji kunenepa.
Kula wanga sana kuliko chakula kingine chochote.
Utakuja kunishukuru
Rahisi sanaa
Kula protein kwa wingi ikiwezekana kila siku kula mayai 10 pekee ya kukaanga
Punguza sex
Lala sanaaa mchana lalaa mno
Week mbili kama hujanenepa utakuwa ulikula rambo [emoji23]
wapiga debe wana vitambi we umekosaje kitambiHabarini wana JF,
Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?
Nahitaji kunenepa.
Huo Ni ukosefu wa akiliWengine wananenepa lakni hawana hizo hela unazozisemea wew