F16 Falcon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 750
- 1,645
Kula nyama wewe acha mboga za ajani, hasa 🐷🐷+🍺🍻Habarini wana JF,
Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?
Nahitaji kunenepa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula nyama wewe acha mboga za ajani, hasa 🐷🐷+🍺🍻Habarini wana JF,
Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?
Nahitaji kunenepa.
We nae!anakwambia anataka kunenepa unamwambia ale protini,ulisikia wapi protin inanenepesha?Kula chakula aina ya protini kwa wingi
Kama nyama, maharage,njegere, samaki,dagaa , mayai
unakua na uzito wa kadri yaani sio uzito pungufu au uzito mkubwa
Kunywa shahawa wiki 2 tuu unakua tipwatipwa
Tako kubwa
Punguza stress,chuki na wivu kwa wengine,kisha fanya hivyi hakikisha unakula zaidi ya mara 4 kwa siku na ule ushibe,vyakula vya protein hasa hasa maziwa,nyama mayai,kama unakunywa pombe hakikisha kila siku kabla ya kulala kunywa beer sio zile pombe kali,pia hakikisha unalala sio chini ya masaa 7 kwa siku.
kuna wale wakiambiwa mbona umekonda anakwambia nimenenepa kwa ndani je wewe vip hata kwa ndani hujanenepaHabarini wana JF,
Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?
Nahitaji kunenepa.
Naam 😂😂 hiko hiko kitoweo ila ndio hivyo tena ushauri wangu usije ukazua taharuki, bora nikae kimyaHicho kitoweo nimeshakijua [emoji23]
Nunua protein shakes inarange from 50k+ 2weeks kapime uzito
Nunua protein shakes inarange from 50k+ 2weeks kapime uzito
Ata kama unataka kuwa kama big mamaYaani ninachohitaji ni kuwa kibombe mpaka nikivaa jeanz zangu ziwe zinabana
Ata kama unataka kuwa kama big mama
Ridhika na jinsi ulivyo.Habarini wana JF,
Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?
Nahitaji kunenepa.
Atafutuka Tu na kutamani diet.kitiMoto na bia[emoji1]
Eti?Unatafuta Mahangaiko Wewe Siyo Bure
Yaani Iwapo Upo Sawa Sawa Huumwi Popote, Unene Wa Nini
NdiyoEti?