Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

Habarini wana JF,

Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?

Nahitaji kunenepa.
Kula nyama wewe acha mboga za ajani, hasa 🐷🐷+🍺🍻

download.jpg


OIP.jpg
 
Punguza stress,chuki na wivu kwa wengine,kisha fanya hivyi hakikisha unakula zaidi ya mara 4 kwa siku na ule ushibe,vyakula vya protein hasa hasa maziwa,nyama mayai,kama unakunywa pombe hakikisha kila siku kabla ya kulala kunywa beer sio zile pombe kali,pia hakikisha unalala sio chini ya masaa 7 kwa siku.

Nan kakuambia mimi nina wivu [emoji23]
 
Ila kama unataka kuongeza hips,butt na mguu au nyonyo bila minyamanyama uzembe,fanya mazoezi ,ule vizuri and sleep well.

Download app ya pininterest,ina mambo mengi kuanzia mazoezi,skin care,fashion,food ,etc .itakusaidia.

But muhimu,Mind your business.Utapata mwili mzuri
 
Back
Top Bottom