Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

ulifanyaje ukaongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa Maji mengi, kula vizuri na kuhakikisha unashiba, Takatisha mawazo yako....stress free zone...
Mvinyo kidogo...
Usitembee na watu kichwani....
Sijui naeleweka......

Ukiwa na pesa unanenepa bila hata kuweka schemes yeyote kwasabb UKIWA NA PESA AKILI INA TAKATA😊🤓🤓🤓
 
Rahisi sanaa
Kula protein kwa wingi ikiwezekana kila siku kula mayai 10 pekee ya kukaanga

Punguza sex

Lala sanaaa mchana lalaa mno
Week mbili kama hujanenepa utakuwa ulikula rambo [emoji23]
Mayai 10?!!🤔
Kulala mchana,wanga kwa sana,na kuacha sex ,(kupunguza) nakubali una gain faster
 
Kunywa Maji mengi, kula vizuri na kuhakikisha unashiba, Takatisha mawazo yako....stress free zone...
Mvinyo kidogo...
Usitembee na watu kichwani....
Sijui naeleweka......

Ukiwa na pesa unanenepa bila hata kuweka schemes yeyote kwasabb UKIWA NA PESA AKILI INA TAKATA[emoji4][emoji851][emoji851][emoji851]
hii mbinu ni sahihi kabisa ukila ukishiba ukiwa huna mawazo mambo yako yanaenda vizuri lazima ukuwa na afya nzuri ya Mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza stress ata ukila majani tu unanenepa

Hawa nguruwe wangu nawapa majani na chakula kidogo tu lakin wamenene mpaka matumbo yanaburuza chini
 
Kula matunda kwa wingi hasa parachichi, mboga mboga za majani, samaki kwa wingi ila nyama na wanga kiasi( isiwe sana), japo mimi sio mtumiaji ila kuna kitoweo flani hivi ningeshauri ila isivyo bahati kwa wengi ni haramu. hivyo tubakie humu humu tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo kwenye haramu naomba nikazie ndani ya mwezi kashakubwa tukunyema
 
Nunua pakiti za glucose za kutosha uweke ndani, kill siku utakuwa unasonga ugali Mkubwa afu glucose inakuwa Kama kitoweo.

Ukifanye hivyo miezi minne mingi unene huu hapa
 
Back
Top Bottom