lufakale
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 321
- 566
😂 vyote hivyo mi natumia, tena karibu every day ila bado ni kimbaumbau mwiko wa pilau.No stress
Kubweteka
Kula parachichi,mtindi na meats zenye mafuta
Bia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 vyote hivyo mi natumia, tena karibu every day ila bado ni kimbaumbau mwiko wa pilau.No stress
Kubweteka
Kula parachichi,mtindi na meats zenye mafuta
Bia
Wee...seriously?😂 vyote hivyo mi natumia, tena karibu every day ila bado ni kimbaumbau mwiko wa pilau.
Noted!!Rahisi sanaa
Kula protein kwa wingi ikiwezekana kila siku kula mayai 10 pekee ya kukaanga
Punguza sex
Lala sanaaa mchana lalaa mno
Week mbili kama hujanenepa utakuwa ulikula rambo [emoji23]
Protein shakes ndo nn?Nunua protein shakes inarange from 50k+ 2weeks kapime uzito
Noted!!Ila kuna watu huku wanachekesha sana[emoji23][emoji23] Eti ale protein,mboga za majani atanenepa[emoji23][emoji23] …. Hiyo theory mmetoa wapi??
Mleta mada ukitaka kunenepa kula wanga kwa wingi… Vyakula vya kunenepesha haraka
1. Chips
2. Chapati
3. soda
4. Bia
Alafu mbona kunenepa sio mpango kabisa wala sio afya!
Ina sound good!!!Kunywa Maji mengi, kula vizuri na kuhakikisha unashiba, Takatisha mawazo yako....stress free zone...
Mvinyo kidogo...
Usitembee na watu kichwani....
Sijui naeleweka......
Ukiwa na pesa unanenepa bila hata kuweka schemes yeyote kwasabb UKIWA NA PESA AKILI INA TAKATA[emoji4][emoji851][emoji851][emoji851]
Noted!!Mayai 10?!![emoji848]
Kulala mchana,wanga kwa sana,na kuacha sex ,(kupunguza) nakubali una gain faster
Hapa bila pesa hutoboi.Unene unakuja ukila hivi.
Asubuhi mayai mawili mkate slace 4 upande blueband upande peanut butter na chai nzito ya maziwa.
Mchana piga kitimoto kilo, ndizi mbili na coke ya baridiii.
Usiku nenda kama pale kisutu agiza ndizi mzuzu na kuku nusu mfute mwenyewe.
Katikati ya hiyo milo kunywa juice za matunda na maji. Vi cake visikosekane hapo.
Hakikisha kwa wiki kitimoto unakula mara 4 ukiweza kula kila siku nakupa 3 weeks utakua umeongezeka sana.
Hivi dawa ya kuongeza hamu ya kula, ndo inanenepeshaa?Nipigie au nichek whatapp 0786426284 nikupe dawa itakuongezea appetite ya kula na utanenepa mstokeo yake week tu
Miss uNoted!!
Coca ht ule nn km una stress hunenepi😅Hapa bila pesa hutoboi.
Mic u mama mchungajiii!!! Ulipoteleaa wapii?Miss u
Wallah Stress zinakondesha na kuisha mwili kabisa..Coca ht ule nn km una stress hunenepi[emoji28]
Nauguza mama angu mwayaMic u mama mchungajiii!!! Ulipoteleaa wapii?
Oooh poleee sanaa!!Nauguza mama angu mwaya
Alipata stroke, mambo ni mengi...
Ila tunashukuru Mungu anaendelea vzr