Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

Rahisi sanaa
Kula protein kwa wingi ikiwezekana kila siku kula mayai 10 pekee ya kukaanga

Punguza sex

Lala sanaaa mchana lalaa mno
Week mbili kama hujanenepa utakuwa ulikula rambo [emoji23]
Noted!!
 
Ila kuna watu huku wanachekesha sana[emoji23][emoji23] Eti ale protein,mboga za majani atanenepa[emoji23][emoji23] …. Hiyo theory mmetoa wapi??
Mleta mada ukitaka kunenepa kula wanga kwa wingi… Vyakula vya kunenepesha haraka
1. Chips
2. Chapati
3. soda
4. Bia

Alafu mbona kunenepa sio mpango kabisa wala sio afya!
Noted!!
 
Kunywa Maji mengi, kula vizuri na kuhakikisha unashiba, Takatisha mawazo yako....stress free zone...
Mvinyo kidogo...
Usitembee na watu kichwani....
Sijui naeleweka......

Ukiwa na pesa unanenepa bila hata kuweka schemes yeyote kwasabb UKIWA NA PESA AKILI INA TAKATA[emoji4][emoji851][emoji851][emoji851]
Ina sound good!!!
 
Unene unakuja ukila hivi.
Asubuhi mayai mawili mkate slace 4 upande blueband upande peanut butter na chai nzito ya maziwa.
Mchana piga kitimoto kilo, ndizi mbili na coke ya baridiii.
Usiku nenda kama pale kisutu agiza ndizi mzuzu na kuku nusu mfute mwenyewe.

Katikati ya hiyo milo kunywa juice za matunda na maji. Vi cake visikosekane hapo.

Hakikisha kwa wiki kitimoto unakula mara 4 ukiweza kula kila siku nakupa 3 weeks utakua umeongezeka sana.
Hapa bila pesa hutoboi.
 
Back
Top Bottom