Nahitaji kupata mume, tujenge maisha

Nahitaji kupata mume, tujenge maisha

Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3.nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5.mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar
Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1.awe mweusi
2.awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama n mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4.awe anafanya kaz, maana maisha n kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayar. Asanten
nina miaka 41+ naomba unifikirie sifa zingine zote ninazo
 
Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3.nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5.mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar
Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1.awe mweusi
2.awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama n mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4.awe anafanya kaz, maana maisha n kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayar. Asanten
Niko tayari ni pm
 
Ni Pm tuongee
 
Kitendo Cha kunganganua dar umekosa mume ondokeni dar ili mpate kuolewa na kuishi na waume zenu mm Niko Dom
 
Back
Top Bottom