mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Hauhitajiki brother [emoji3][emoji3]Bibie mimi nimekuelewa vizuri sana tatizo sina kazi wala shughuli, tunafanyaje sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauhitajiki brother [emoji3][emoji3]Bibie mimi nimekuelewa vizuri sana tatizo sina kazi wala shughuli, tunafanyaje sasa?
nina miaka 41+ naomba unifikirie sifa zingine zote ninazoHello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3.nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5.mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar
Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1.awe mweusi
2.awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama n mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4.awe anafanya kaz, maana maisha n kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayar. Asanten
Mzee wa Bima naona vijana mpira umetolewa maguu 12 umewekwa maguu sita daah...Kila lakheri dada. Kama bado tuletee mrejesho tujaribu nafasi yetu na sisi.
Hahahaaa acha tu mzee baba.. huu maaka ushakua mgumu kabla haujaanza.Mzee wa Bima naona vijana mpira umetolewa maguu 12 umewekwa maguu sita daah...
Hapana utafunguka tu si unajua Jan ina mambo mengi...Hahahaaa acha tu mzee baba.. huu maaka ushakua mgumu kabla haujaanza.
Niko tayari ni pmHello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3.nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5.mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar
Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1.awe mweusi
2.awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama n mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4.awe anafanya kaz, maana maisha n kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayar. Asanten
Ni Pm tuongeeHello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3.nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5.mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar
Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1.awe mweusi
2.awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama n mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4.awe anafanya kaz, maana maisha n kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayar. Asanten
Raine Col nini hiki 🤓😆🤣🤔Utapata ila umri weka kwanzia 25
KwendaaaAnataka sisi wa 32 tuende wapi 🤣 🤣
Twende nikakuache mbele hapoKwendaaa
Jana Uka kimbia 🤣😆Twende nikakuache mbele hapo
Nilikimbilia PM kukusubiri 🤣 kumbe ulidakwa pengineJana Uka kimbia 🤣😆
Nili kusubiri Nika choka, nika sema isiwe nongwa acha ni walk awayNilikimbilia PM kukusubiri 🤣 kumbe ulidakwa pengine
so tulikua tunasubiriana 🤣 🤣 ? okee fanya nakusubiri totooNili kusubiri Nika choka, nika sema isiwe nongwa acha ni walk away