Nahitaji kupata mume, tujenge maisha

Nahitaji kupata mume, tujenge maisha

Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3. Nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5. Mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar

Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1. Awe mweusi
2. Awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama ni mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4. Awe anafanya kazi, maana maisha ni kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayari.

Asanteni
Sawa ni Pm
 
Ni PM tuyajenge mama

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3. Nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5. Mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar

Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1. Awe mweusi
2. Awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama ni mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4. Awe anafanya kazi, maana maisha ni kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayari.

Asanteni
Kama hapo unapofanya kazi wamekuiginoa kwahiyo sasa unatutupia sisi mabaki ndani ya gunia!
 
😏wacha weee, okee siwezi kujidanganya koz mimi sifanyi kujaribu, no room for cheap moves, endelea kutafuna cheap dawiliz, hili fupa waachiea mafisi Pro 🤣 🤣
Acha kumbania kitu umepewa bure peana bure in Kenyatta's voice😅
 
Back
Top Bottom