Nahitaji kupingwa kwa hoja kwa mambo ninayo amini kuhusu watu weusi

SAWA
 
Matatizo mengi ya kupandikizwa yataendelea kumea na mkulima kakaa kando anafurahia kilimo chake.
Asiye jua historia na ukweli wake atajitusi na Kuabudu mtesi wake.
Vibaraka wawashe data waone mema kwenye ubaya tuliovikwa.
The System.
 
Usijihesabie HEKIMA kupita kiasi, utakufuru!!

Kwamba unamlaumu aliyewaweka waarabu jangwani na akawanyima maji na kuwazawadia mafuta?

Unamlaumu aliyewaumba wazungu katika Nchi ya barafu, akawanyima raslimali na kuwapa akili na mavumbuzi?

Kwamba unamlaumu aliyewaumba waafrica Nchi yenye Kila kitu na wasiweze kutengeneza hata nguo za kujisitiri? Waishio Nchi yenye joto lakini watengenezewe fridge na weupe?

Yote ni mipango ya Mungu, Ili wote wasaidiane na maisha yasonge!!!
 
Acha kumsingizia Mungu wewe..!
 
Mbona Laizer Haniniu wa Arusha anachimba Tanzanite?
 
Tungesema viongozi ndio wabovu lkn viongozi si wanatokana na jamii?

Africa ina laana.
 
Hayo mawazo tu uliowaandika hapa ni mpango kazi wa unaowasifu wamebarikiwa uone hivyo uonavyo!!
 
Umetuchosha, si ungesema tu moja kwa moja kuwa kuna waafrika wameuza bandari zetu huku? Kwa nini unatuchosha bure kwa kuzunguka?
 
Kwanza Mungu hayupo.

Haiwezekani Muumbaji huyo aumbe vitu Unfairly, Vitu visivyo na usawa.
 
Wewe ni MPUMBAVU sawasawa na maandiko yasemavyo.

Maana ungemtafuta ukamkosa, ungekuwa sawa kusema usemavyo.
Hata kigezo cha kupima upumbavu huna.

Ni mihemko yako na hasira kwa vile huna hoja na huwezi kujenga hoja.

Naku uliza hivi, [emoji116]

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba Dunia iliyo na usawa kwa binadamu wote?
 
Njoo Hapa.., Walter Rodney alishamaliza kila kitu,
Wakati unalalamika kufanikiwa kama Wao,Wao walishafanikiwa miaka 500 iliopita,Wewe Ndani ya miaka 60 unataka ufanikiwe kama Wao

Soma Hapa upate maarifa
 

Attachments

Matatizo mengi ya kupandikizwa yataendelea kumea na mkulima kakaa kando anafurahia kilimo chake.
Asiye jua historia na ukweli wake atajitusi na Kuabudu mtesi wake.
Vibaraka wawashe data waone mema kwenye ubaya tuliovikwa.
The System.
Nimekuelewa sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…