Nahitaji kuprint kitabu

Nahitaji kuprint kitabu

baiser

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,480
Reaction score
2,239
Habari wana JamiiForums,

Kuna kitabu changu ninakiandika, na bado kidogo kukimalizia. Nataka kujua ni utaratibu gani niufuate ili niweze kukiingiza sokoni na pia nahitaji kujua gharama za ku-print kila copy moja ya kitabu chenye page chini ya mia moja.
 
Sio kitabu cha story ni kitabu cha maswala ya kilimo na ufugaji wa wanyama mbalimbali
 
ulifanikiwa? Kama ndyo naombaa muongozo wa gharama?
 
ulifanikiwa? Kama ndyo naombaa muongozo wa gharama?
Hatua ya kwanza:
Untafuta Publisher Yeye ataingia makubaliano na wewe kisha atamaliza yote:
Ama Uende Pale Maktaba Kuu uombe ISBN kisha Ukishaipata ISBN yako unaenda kwa Printer Moja moja(self Publishing)
Pia unaweza Publish Digitally nakuuza kitabu chako online
 
Back
Top Bottom