Nahitaji kupungua uzito


Thank u
 
Hatua ya kwanza ni kujua kwa siku unatakiwa kula calories ngapi ili kupunguza uzito..Zen ukishajua jitahidi kupangalia msosi wako vizuri na usizidi hizo calories unazotakiwa kula kwa siku

N.B Jitahidi kuepuka vyakula vyenye calories nyingi
 
Aisee we bonge sana. Anyway punguza au acha kunywa chai na vitu vya sukari sukari sana. Acha vyakula vyenye wanga na mafuta (chips, mayai, nyama, wali, dona). Ukila kula kidogo sana. Kula vyakula vya asili mf ugali ulokobolewa n.k
 
Tumia papuchi yako

Fanya sex twice daily kuanzia miezi miwili kuendelea (bao kuanzia tatu kila mkifanya). Mi nilikuwa na girlfriend alikuwa so SWEET, nikawa nakaa nae unofficially, alipunguza KILO kibao baada ya hayo mazoezi tuliokuwa tunafanya.
 
Don't do diets ni kutesa mwili,change your lifestyle eat healthy na Fanya mazoezi...that's the secret of maintaining my weight haiongezeki for years labda kupungua
Mwili wako unahitaji all nutrients at the right proportion ukianza Fanya midiet wooo utaanguka kwa hypoglycemia
Punguza carbohydrates,more proteins, veggies,maji na mazoezi and this should be your lifestyle enjoy it, sio tu kwa ajili ya kupungua
 

jambo kubwa wengi tusolijua weight management ni factor ya kitu kimoja tu ambacho ni body metabolism.
body metabolism ndiyo sasa inayochangiwa na vitu vingi ikiwemo what you eat an how you live and on top of that your blood group.

kwanza niambie blood group yako, ikiwa wewe ni blood group O jua kwamba kwa diet pekee na mazoez huwez kupungua sana yaani utapungua kg not more than 2 kg ndani ya miez 6. ni kwasabb metabolism kwa blood group hii ni ndogo na pia body assimilation ni kubwa zaidi.

watu wa group B wao hupungua kirahisi na wengi sio wanene as metabolism kwao ni kubwa na assimilation ni ndogo sana hii iko hata kwa A na AB.

ikiwa wewe ni O tumia thermogenic foods, pia cut your appetite kwa kunywa maji mengi sana usile vyakula vyenye fiber nyingi kama kabichi. wala wanga kama njegere na viazi.

hakikisha unafanya mazoez not less that 30 minutes, ila pia uwe makin isije ikawa unaongeza appetite kwa hayo mazoezi. jitahd kupunguza appetite yako kawa kunywa maji kwa wingi kama lita 3.5 kwa siku na hapo uanze kunywa asbh kabla ya kutoka kitandani japo mil500 ivi.

pima calorie lkatika milo yako ya kila siku. hakikisha hutumii calorie zaid ya 1000 kwa milo yako ya siku nzima. hili ni muhimu sanaaaaa. unaweza uka nunua calorie count machine itakusaidia. mafuta, siagi na carbs zina calorie kubwa zaid so zipunguze ama usitumie kabisa.

kibiolojia ukipunguza calorie intake japo metabolism ni dogo lkn vitatosha kukufanya uishi bila kustarve, na pia mwili ukishazoea kuassimilate low calorie automatic utajiswitch into it na hivyo kulazimika kupungua ili hizi calorie zitoshee. mazoezi yatakufanya uburn unwanted fats and carbs hivyo havitahifadhiwa mwilin. usipofanya hivyo utanenepa tu kwan mwili ukizoea kula kidogo utakiassimilate chote bila kutoa hata kidogo so wewe ndo unatakiwa uulazimishe mwili kutoa kwa njia ya respiration

kama sieleweki niambie nadhan akili leo haijakaa kueleweka vizuri
 


your blood group please.................if you dont mind
 
O
Bila ya ww kujua umenisaidia sana na nimegain kitu..thanks a lot nitaifanyia kazi
 
Laki Sita io machine boss, wiki nne tu
 

Attachments

  • 1449563086598.jpg
    31.2 KB · Views: 220
nakushauri kama mtaalamu wa Michezo


Utangulizi
Suala la unene overweight kwa kjamii za watanzania kwa sasa imekuwa shida sana kwa sababu ya lifestyle yetu na vyakula tunavyokula. Watanzania wengi hawashiriki kwenye michezo kama watu wa nchi zingine na dhana ya kwamba mtu mwenye kitambi ndiye mwenye mafanikio inaharibu sana.

Mtu anaweza akawa na mwili mzuri tu lakini punde tu anapopata hela mwili unaanza kubadirika. wengine wanaona kitambi ni symbol ya mafanikio na maisha mazuri. Kumbe kitambi kiuhalisia ni accumulation ya excess food kwenye mwili wetu.

Mwili una tabia ya kutanza excess food kwa ajili ya matumizi ya baadaye au kwenye kipindi kigumu. Unatakiwa ule kulingana na kazi unayofanya kama unafanya kazi ngumu physical ule sana kama kazi zako siyo physical ule kidogo kwa sababu mwili utatumia kiasi kidogo na kingine kitatunzwa na mwili. vyakula vinatunzwa sehemu mbali mbali inform of fats. fats inayotunzwa kwenye tumbo baada ya muda inakuwa kitambi

ushauri

fanya kwanza kipimo cha BMI. BMi ni uhusiano wa urefu wako na uzito wako ikiwa na maana ya ukiwa mrefu unaweza ukawa na uzito na jinsi mtu alivyo mfupi ndivyo anatakiwa awe na uzito mdogo. BMI inaonyesha kama mtu ni mwembamba, kawaida au mnene.

Pincipal ya kupunguza unene ni kupunguza chakula unachokula na kuongeza mazoezi. Ni vizuri pia ukapata mtaalamu wa mazoezi ili uweze kufanya mazoezi sahihi. Kufanya tu diet bila kufanya mazoezi ni kupoteza muda na unaweza chukua muda mrefu bila kuloose hata kg 1.

Ni vizuri pia ukaepuka matumizi ya madawa ya kupunguza uzito kwa sababu chemicals zote siyo nzuri kiafya na hao wote wanaouza hizo dawa hawawezi eleza namna ambavyo madawa yao yanapunguza uzito.

kumbuka hii programu ni ya kudumu ukiacha kufanya diet na mazoezi mwili unarudi kama kawaida
kila la heri
 
asubuhi kunywa maji ya moto ya limao mazoezi yasiyopungua dakika 30 kila siku kula mboga za majani nyingi kuliko ugali au wali akikisha unaacha kula kwa wingi chakula cha wanga na mafuta wewe use unakula mboga na matunda sana mwezi tu utapungua ili usiache mazoezi na kufanya hivyo mwili utarudi kama mwanzo na hakikisha maji unakunywa si chini ya Lita 3 kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…