Nahitaji kupungua uzito

Nahitaji kupungua uzito

Yani nina 92kg nataka kupunguza uzito wa mwili at least nifike 80 if not 75 nataka mnishauri diet nzuri itakayo nisaidia nafanya mazoezi kidogo though sitaki dawa za kunywa ili nipungue uzito no.

Nataka ushauri wa diet tuu my meal arrangement basi.

(pls nipo serious maana kuna wengine wanapenda kutoa wenzao off mood kwa comments zisizo na maana)

kama ulefu ulio taja ni feet na si inches, kwa kutumia BMI kwa uzito wako wa 92kg wewe una uzito ulio pitiliza na bado kidogo uingie kwenye obesity!. (BMI yako ni 29.4) kwakweli unahitaji kupunguza uzito.
 
Kuacha/kupunguza vyakula vyenye mafuta kama chipsi, vyenye sukari kama soda na bia. Mazoezi jogging, kuruka kamba at least 30min kwa siku 4 hadi 5 za wiki.
 
jambo kubwa wengi tusolijua weight management ni factor ya kitu kimoja tu ambacho ni body metabolism.
body metabolism ndiyo sasa inayochangiwa na vitu vingi ikiwemo what you eat an how you live and on top of that your blood group.

kwanza niambie blood group yako, ikiwa wewe ni blood group O jua kwamba kwa diet pekee na mazoez huwez kupungua sana yaani utapungua kg not more than 2 kg ndani ya miez 6. ni kwasabb metabolism kwa blood group hii ni ndogo na pia body assimilation ni kubwa zaidi.

watu wa group B wao hupungua kirahisi na wengi sio wanene as metabolism kwao ni kubwa na assimilation ni ndogo sana hii iko hata kwa A na AB.

ikiwa wewe ni O tumia thermogenic foods, pia cut your appetite kwa kunywa maji mengi sana usile vyakula vyenye fiber nyingi kama kabichi. wala wanga kama njegere na viazi.

hakikisha unafanya mazoez not less that 30 minutes, ila pia uwe makin isije ikawa unaongeza appetite kwa hayo mazoezi. jitahd kupunguza appetite yako kawa kunywa maji kwa wingi kama lita 3.5 kwa siku na hapo uanze kunywa asbh kabla ya kutoka kitandani japo mil500 ivi.

pima calorie lkatika milo yako ya kila siku. hakikisha hutumii calorie zaid ya 1000 kwa milo yako ya siku nzima. hili ni muhimu sanaaaaa. unaweza uka nunua calorie count machine itakusaidia. mafuta, siagi na carbs zina calorie kubwa zaid so zipunguze ama usitumie kabisa.

kibiolojia ukipunguza calorie intake japo metabolism ni dogo lkn vitatosha kukufanya uishi bila kustarve, na pia mwili ukishazoea kuassimilate low calorie automatic utajiswitch into it na hivyo kulazimika kupungua ili hizi calorie zitoshee. mazoezi yatakufanya uburn unwanted fats and carbs hivyo havitahifadhiwa mwilin. usipofanya hivyo utanenepa tu kwan mwili ukizoea kula kidogo utakiassimilate chote bila kutoa hata kidogo so wewe ndo unatakiwa uulazimishe mwili kutoa kwa njia ya respiration

kama sieleweki niambie nadhan akili leo haijakaa kueleweka vizuri

Nadhani nakuelewa sasa, mm pia ni group O+, na niligundua maji yananisaidia,naomba nieleweshe zaidi
 
Karbu nikupe product za mimea na matunda hazina madhara yoyote .zisipo kusaidia hela yako inaludi 0683109166
 
Aisee we bonge sana. Anyway punguza au acha kunywa chai na vitu vya sukari sukari sana. Acha vyakula vyenye wanga na mafuta (chips, mayai, nyama, wali, dona). Ukila kula kidogo sana. Kula vyakula vya asili mf ugali ulokobolewa n.k

ale nini sasa mbona naona ndiyo unapotosha eti ale ugali uliokobolewa...
 
ale nini sasa mbona naona ndiyo unapotosha eti ale ugali uliokobolewa...

Ugali ulokobolewa ni makapi tu mkuu hauna chochote interms of nutrients na kama ipo ni kidogo sana. Kwahiyo hauwez kumuathiri kwenye dhamira yake ya kupunguza uzito.

Dona au wali ni janga kwake akipenda kula kila siku. Uzito hautapungua hata siku moja.
 
Ugali ulokobolewa ni makapi tu mkuu hauna chochote interms of nutrients na kama ipo ni kidogo sana. Kwahiyo hauwez kumuathiri kwenye dhamira yake ya kupunguza uzito.

Dona au wali ni janga kwake akipenda kula kila siku. Uzito hautapungua hata siku moja.

This is very wrong my dear friend... Kinyume chake ndio sahihi... Anapaswa kula whole grain meals.. Vyakula ambavyo havijakobolewa... Ila portion sizes control ni muhimu ili energy input iwe ndogo kuliko energy output ili apungue
 
Back
Top Bottom