Nahitaji kusafirisha mazao kutoka Karagwe mpaka Dar es Salaam

Nahitaji kusafirisha mazao kutoka Karagwe mpaka Dar es Salaam

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu,

Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100.

Asanteni
 
Habari wakuu. Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100. Asanteni
Gunia moja kilo 100 tumia Basi tu Mkuu Kama ni maharage.
 
Back
Top Bottom