Nahitaji kusaidiwa jina la biashara

Nahitaji kusaidiwa jina la biashara

alsam

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
221
Reaction score
308
Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona.

Nahitaji kufungua kampuni itayodeal na financial services.

Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia.

Zawadi ya elf 10000 itatolewa kama zawadi.
 
1. Zone microfinance
2.Bing back microfinance
3. intergrated microfinance
 
English Names.......................................01

1)BOLD FINANCE (BC)
_Bold inareflect kitu kufanya kwa ukubwa na kwenye logo Icon ikoze

2)PAN FINANCE (PF)
_psychology behind rahisi kutamkika kwa mteja hususani mteja mpya, easy to get new clients.

3)GOLDEN FINANCE (GF)
_psychology behind rahisi kutamkika na kushikika na mteja, inafanya rahisi kupata wateja wapya kwa kujabarishana.

4)AFRICAN FINANCE (AF)
_rahisi kutamkika na kihafdhika, psychology behind rahisi mteja mpya kulishika jina.

5)MILLENIUM FINANCE (MF)
_Rahisi kutamkika na inaonesha Malengo ya muda mrefu.

Swahili Names......................................02

1)MALENGO FINANCE (MF)

2)UCHUMI FINANCE (UF)

3)MWAGAZA FINANCE (AF)

4)WEZESHA FINANCE (WF)


_Saikolojia ya majina yote manne yana msamiati wa kumteka na kumvutia mteja kuwa hapa nisehemu sahihi kuinuka kiuchumi
_Saikolojia ya pili rahisi kutamkika na mteja, utapata wateja wapya kwa urahisi via kuhabarishan.


Others
*Home Finance
* Tujenge Finance
 
1)ASSEX FINANCE 2)GOLD COIN FINANCE 3)DESERT FINANCE 4)OMEGA FINANCE HOLDING
 
Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona.

Nahitaji kufungua kampuni ya itayodeal na financial services.

Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia.

Zawadi ya elf 10000 itayolewa kama zawadi.
Zawadi ya elfu 10 ni ya nini hiyo mkuu, unatuchota sana, yani unanunua wazo la biashara kwa elfu 10,wenzako wananunua mpaka laki[emoji1]
 
Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona.

Nahitaji kufungua kampuni ya itayodeal na financial services.

Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia.

Zawadi ya elf 10000 itayolewa kama zawadi.
Ukishapata jina la Biashara.... njoo mimi nikusaidie kusajili kampuni, kufuatilia vibali na taratibu zote za mwanzo kama TIN Number, Tax Clearance, Leseni ya Biashara, n.k

Huduma yote hii utaipata kwa bei ya kiTanzania kabisaaa.
 
Jina lako ni Brand yako.
Unaweza kutumia baadhi ya herufi toka kwenye jina lako na la mzazi wako ili kupata jina la Biashara yako.

Usipolipenda unaweza ukaaunda jina toka kwenye majina ya watoto wako.
 
Back
Top Bottom