Perfect financial servicesHabarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona.
Nahitaji kufungua kampuni ya itayodeal na financial services.
Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia.
Zawadi ya elf 10000 itayolewa kama zawadi.
Mshana JR microfinance pont.Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona.
Nahitaji kufungua kampuni ya itayodeal na financial services.
Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia.
Zawadi ya elf 10000 itayolewa kama zawadi.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3][emoji3][emoji3]Mshana jr microfinance pont.
Aisee😀Covid 21 financial services
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu jamaa nae ajaingia Online toka apost minashida na hii 10 aisee
Duu Bro nime Battle sana nifikurie iyo 10 teni basi nipunguze shida.Asanteni Sana wadau kwa mawazo yenu mazuri frankly speaking jina nimeshapata lkn halitokani mmoja wenu humu nipo katika kulifanyia taratibu za usajili na mambo mengine kabla kuanza ntalileta hapa
HahahahaKamasutra financial services.
Nigee kabisa buku kwenye iyo teni
Good idea, hata mm nakumbuka niliwahi kuifanya idea ya kutafuta jina la stationery yangu, ktk jukwaa hili hili, hongera Sana!Mkuu moja ya njia za kupata jina la kampuni ni kupata recommendation/suggestion names kutoka kwa watu mbalimbali, halafu unachagua, simple tu ili usile sana units 😀
Kwa gharama ya kiasi gani? Mkuu unaweza nipa gharama zako PMUkishapata jina la Biashara.... njoo mimi nikusaidie kusajili kampuni, kufuatilia vibali na taratibu zote za mwanzo kama TIN Number, Tax Clearance, Leseni ya Biashara, n.k
Huduma yote hii utaipata kwa bei ya kiTanzania kabisaaa.