Nahitaji kusoma Kati ya SUA na Ardhi, kozi gani inanifaa?

Edgar 8900

Member
Joined
Jun 8, 2022
Posts
24
Reaction score
9
Jamani Nina nimemaliza A-level kombi HGE na kupata
 gs-E
history-D
geo-C
economy-D
Nahitaji kusoma Kati ya SUA na ARDHI naomba ushauri kozi gani inanifaa
 
Agroecomics iko na future. Ipo pale SUA ardhi
 
Kama haijabadilishwa jina ni Agriculture/Agricultural Economics. Lakini pia kwa SUA ni kama unahitaji combination yenye Biology ila mambo yamebadilika yawezekana vigezo vya zamani sio kama vya sasa.
 
Kama unazungumzia Agriculture Economic and Agribusiness haiilazimishi kuwa na kombi ya Biology, hata HGE anasoma, maelezo kutoka kwenye tovuti ya sua yanasema.
Two principal passes (4 points) in the following subjects: Economics, Advanced Mathematics, Geography, Commerce, Accountancy, Physics, Chemistry, Agriculture and Biology. In addition, an applicant must have a minimum of “D” grade in Basic Mathematics at O-Level OR Diploma in Agriculture with an average of “B” or a minimum GPA of 3.0. In addition, an applicant must have a minimum of “D” grade in two science subject and a minimum of “D” grade in Mathematics at O-Level.
 
Nenda SUA soma Agribusiness, Land valuation Ardhi
Agribusiness hawezi kupata mtu alosoma HGE mna kuna mabadiliko saivi ple SUA wntka lazima usome BIOLOGY
 
Jamani Nina nimemaliza A-level kombi HGE na kupata
 gs-E
history-D
geo-C
economy-D
Nahitaji kusoma Kati ya SUA na ARDHI naomba ushauri kozi gani inanifaa
huna qualifications za kuja chuo. please jiajiri
 
Jamani Nina nimemaliza A-level kombi HGE na kupata
 gs-E
history-D
geo-C
economy-D
Nahitaji kusoma Kati ya SUA na ARDHI naomba ushauri kozi gani inanifaa
Ardhi.

1. Land valuation
2. Accountancy
3. Geographical information systems
4. Building economics

SUA
1. Agribusiness and agro economics (AEA)
 
Building economics hawezi kuipata kwa marks izo .wamebadilisha basic requirements ni advanced mathematics
 
Agribusiness hawezi kupata mtu alosoma HGE mna kuna mabadiliko saivi ple SUA wntka lazima usome BIOLOGY
Mimi nipo SUA hapa watu wa HGE kila mwaka wanasoma agribusiness
Acha kupotosha watu . Kama kigezo lazima mtu aliyesoma biology mbona EGM, PCM,ECA wanasoma?

Kitu Kama hufahamu Bora unyamaze vigezo vinavyotakiwa kwa mtu aliyesoma combination ya uchumi Ni Geography , Economics na basic mathematics au pure mathematics .
 
Kama unazungumzia Agriculture Economic and Agribusiness haiilazimishi kuwa na kombi ya Biology, hata HGE anasoma, maelezo kutoka kwenye tovuti ya sua yanasema.
Two principal passes (4 points) in the following subjects: Economics, Advanced Mathematics, Geography, Commerce, Accountancy, Physics, Chemistry, Agriculture and Biology. In addition, an applicant must have a minimum of “D” grade in Basic Mathematics at O-Level OR Diploma in Agriculture with an average of “B” or a minimum GPA of 3.0. In addition, an applicant must have a minimum of “D” grade in two science subject and a minimum of “D” grade in Mathematics at O-Level.
Asante sana
 
Back
Top Bottom